Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Kwanini Warusi wanaogooa HIMARS?
 
Leo Urusi wamejua hawajui 🤣🤣
IMG_20220707_193255_967.jpg
IMG_20220707_193252_450.jpg
IMG_20220707_193249_600.jpg
IMG_20220707_193245_388.jpg

IMG_20220707_193229_732.jpg
 
Marekani na washirika wa NATO tayari wamekabidhi HIMARS MLRS tisa na mifumo kama hiyo kwa Ukraine - Danilov

"HIMARS tisa na mifumo kama hiyo ya makombora tayari inafanya kazi nchini Ukraine, Warusi hawana ulinzi dhidi ya HIMARS na wana wasiwasi mkubwa," katibu wa NSDC alisema.
View attachment 2283606
Muhimu sana ni ammunitions za umbali mrefu ili crimea bridge iondolewe
 
Mkuu,

Kuna baadhi ya picha unazoziweka zinatosha na kuogopesha sana unatakiwa kutoa tahadhari kwa sisi wasomaji wako.

Sijui lakini kwa nini sijui @moderators wamekuacha ufanye hivi vitu pasipo kukudhibiti.
Ndo hali halisi ya Frontline.. Thread ya Vita ulitegemea usikutane na maiti 200 za Urusi? Inakuuma?

Basi nakutahadhalisha.. Picha nitakazopost zingine ziogopesha.. Thread ya Kiume.
 
Haya magari yapo Frontline. Yanatumia internet ya Starlink aliyotoa kama msaada Elon Musk baada ya Urusi kuharibu miundombinu ya Intenet Ukraine. So Frontline wapo Online ili kuwazoom Vizuri kwa Google warusi walipo.
 
Hahahaaa....🤣🤣🤣🤣
 
Hapa ni Shakhtarsk, unaambiwa masaa manne hii mijengo inalipuka tu baada ya kurushiwa Kombora. Warusi walificha nini humu?
 
Kifaru cha Urusi aina ya T-80BV kilixhotekwa maeneo ya Kharkiv ndo hiki. Video imechukuliwa Kiji cha Karnaukhivka, Wilayani Izyum.
 
Maisha ya kila siku ya wapiganaji wetu Frontline. Mnacheka dakika moja, dakika moja mnalia
 
Hadi Sasa imemsaidia saana kuwapush Russians back... Maana Hadi Sasa Russia hawana Namna ya kuzizuia HIMARS zinapenya tu!
RUSSIA Wajinga sana, wameleta Propaganda kuwa HIMARS Wamezilipua zote, CNN wakalazimika kwenda kurekodi wakati zinafanya kazi.
1.
CNN Wakizionyesha HIMMARS Baada ya Russia Claims.
2.https://youtu.be/yaqXJGjCln8?t=104
Russia Propaganda.
 
Back
Top Bottom