Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Urusi wapo wanaaga Viongozi wa Kiijeshi 40 waliopoteza maisha Ukraine. Huku pro Urusi wakishangilia. Wao wanajua Ukraine ndo wanakufa na Urusi hawafi. Kwa Taarifa, Ukraine inaua Viongozi wa Kijeshi. Hawa wadogo tunawateka tu. Na sasa dau limetolewa? Kila Mrusi atakaye jisalimisha analiowa
 
IMG_20220708_192049_746.jpg
 
Huu ndo ule Mfumo wa ulinzi wa anga unaitwa "Arrow 10".

Anti-aircraft missile system 9K35M3 'Arrow-10M3' (9K35M 'Arrow-10M')
 
🤣🤣🤣🤣
 
KUNA UMUHIMU WA KUWA NA VIFAA VYA KISASA KWENYE JESHI LETU, NA HIYO ITAWEZAKANA KWA KUFUNGA BAADHI YA KAMBI , MAANA TUNA KAMBI NYINGI SANA ZA KIJESHI. KAMA BEI YA DRONE MOJA NI EURO MILLION 6 . tunaweza kabisa kununua 3 , maana kila kona kambi ya jeshi tu
 
KUNA UMUHIMU WA KUWA NA VIFAA VYA KISASA KWENYE JESHI LETU, NA HIYO ITAWEZAKANA KWA KUFUNGA BAADHI YA KAMBI , MAANA TUNA KAMBI NYINGI SANA ZA KIJESHI
Afrika bado twapigana kishamba.
Mziki wa Urusi achana nao, Ukraine amshukuru USA na washirika wake vinginevyo bendera za USSR zingekuwa zapepea
 
Afrika bado twapigana kishamba.
Mziki wa Urusi achana nao, Ukraine amshukuru USA na washirika wake vinginevyo bendera za USSR zingekuwa zapepea
Urusi hana Mziki wowote. Si anajilinganisha na Marekani? Aache kuonea Dagaa bali aonee Kambale. Kumbe Marekani mbabe wenu?
 
Russia akilipua Himars atafanya sherehe, ila hadi sasa inabidi US aingie kazini kuanza tengeneza Himars maana demand itapaa.
Kwa sasa Javelin ni kama zimetulia, maana kazi yake ishaisha
Javelin Sasa hivi zinapumua zile zilikuwa kwa ajili ya kuchana vifaru vinavyo advance Frontline.

HIMARS kwa Sasa ndo ziko mzigoni. USA hawezi kufail Hii task ndogo tu.
 
Kabla ya Vita, Urusi ilikuwa inatumia masaa matatu kutoka Moscow hadi Basel. Lakini kutokana na Vikwazo vya ndege za Urusi kutopita baadhi ya anga, Sasa wanatumia masaa 9. angalia Ilyushin Il-96 ilivopiga mzunguko leo
FXJjS6YXEAATGJv.jpg
 
Ghala lingine la urusi la Silaha na risasi limelipuliwa usiku huu huko Khartsyz’k, Mkoani Donetsk
 
Back
Top Bottom