HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Na 100% US ndo anatoa intel na coordinates za wapi pakupiga, maana hataki kwa namna yoyote ile himars idakwe au ilipuliweJavelin Sasa hivi zinapumua zile zilikuwa kwa ajili ya kuchana vifaru vinavyo advance Frontline.
HIMARS kwa Sasa ndo ziko mzigoni. USA hawezi kufail Hii task ndogo tu.