figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #3,701
Warusi wamehifadhiwa. Pro Urusi nenda mkaage
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ogopa mtu mwenye uwezo wa kununua akili yeyote ile Duniani... Wasomi waliobobea kwenye technology wote marekani anawapa mkwanja wanaenda New York kula maisha na wanampigia kazi sio ya kizembe.Yaani USA ni noma ana silaha za ajabu alafu kila silaha ina kazi yake kwenye battle field duuh am kweli USA ni super power wazee jamaa waNajua sana san USA ndo jeshi la dunia hutaki kataa anakuletea aina ya SILAHA kutokana na wewe unavyokuja
Hapa ndo nimeelewa kwanini Ukraine anaendelela peleka kichapo. Urusi kashindwa zuia kabisaHivi ndivyo Silaha zinasafirishwa hadi Ukraine
View attachment 2285169
JavelinJavelin Sasa hivi zinapumua zile zilikuwa kwa ajili ya kuchana vifaru vinavyo advance Frontline.
HIMARS kwa Sasa ndo ziko mzigoni. USA hawezi kufail Hii task ndogo tu.
Vita ishakuwa ngumu kwakeUrusi baada ya kuona mambo yamekuwa Magumu, wameingiza Frontline S-300 Missiles. Hii inamanisha wameishiwa precision munition. Je, Zitaipiku HIMARS? Sema hizi zinapiga ndege, sijajua kama zinatarget nzuri ya Ardhini. Bora angeleta S-400. Hizi za kizamani kidogo
View attachment 2285564
Hizo silaha zote kwa Mmarekani bi silaha za kawaida tu ... Mediocre yaani. Lakini hiyo javelin inavyochana vifaru advanced Kama karatasi Hadi Mrusia imemshangaza. Kasilaha kadogo kakubeba begani kanachana kifaru Kama tissue.Javelin
HIMARS
M777 Howtizers
NLAW
STUGNA-P
ni visilaha vidogo ila moto wake sio wa kinyonge aisee. Siku ambayo marekani nae atacharuka na kumpa Ukraine rocked za himars za long range itakua moto mnooo.
Hii vita urusi walijua jino moja tu imekwisha ila ndio kwanzaaa kimewaka
Tatizo, hii hauwezi kupiga. Watakaoumia ni Raia. Hii unaweza piga masaki ikaenda Mbagala sababu si kwa kazi hiyo. Wanadai eti wameifanyia programing. Umeishiwa hadi ubadilishe matumizi?Vita ishakuwa ngumu kwake
Akileta hizi Mmarekani anatubadilishia ammunition supply yetu na sisi anatupa advanced weapons kuzidi za Mrusia.Hizi S-300 ni surface to air missile systems, wenyewe wanataka zitumike kama surface to surface missile ili nao walipue Maghala ya Ukraine kama HIMARS zinavyolipua ya Urusi. Wataalam wa vita wamesema wameanza kuchanganyikiwa. Kabla huu mwezi haujaisha, ataleta hadi S-400. Alijua vita hii mchezo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nisikilizie HIMARS itakavyo zilipua. Nasikia zipo Mykolaiv, Luhansk na Donetsk tayari.
View attachment 2285568
View attachment 2285569
Mkuu, NLAW ni kitu kingine kabisa kwangu, Mimi naikubali sana.Hizo silaha zote kwa Mmarekani bi silaha za kawaida tu ... Mediocre yaani. Lakini hiyo javelin inavyochana vifaru advanced Kama karatasi Hadi Mrusia imemshangaza. Kasilaha kadogo kakubeba begani kanachana kifaru Kama tissue.
Huwezi ukadvance hata siku moja vitani Kama mpinzani wako ana javelin hata 20 tu! Hufiki mbali.
Kanagonga long range afu kana usahihi wa level ya Dunia afu pia ni deadly kakifika kanaacha madhara makubwa.
Hapo hatujazungumzia ma M777, Stugna, NLAW e.t.c
Hadi Sasa Hii vita Mrusia hatoboi. Pona yake afurumushe nuclear na nuclear hawezi Dunia haiwezi kumuelewe hata Mchina, mhindi na washirika wenzie watamruka.
Kwanini hutuharibie Dunia yetu kwa maslahi yako?
Show inaanza Sasa.
[emoji16][emoji16][emoji16]wazee wa trekta walijibebe sana vifaru. Mtu anakatiza katika mtaani anakuta kifara kinahanya hanya tu , anashtua wana wanabebaKipindi Urusi anavamia, NLAW ilitusaidia sana pale Kyiv. Jamaa alikuja na Vifaru kama sisimizi kila Mtaa. Lakini vyote vikaisha. Marekani alikuja kuketa Javelin baadaye sana. Uingereza ndo ilikuwa ya kwaza kuketa NLAW. Watu walipewa Training siku 3 wamaambiwa mtajua mbele ya Safari. Waukraine walizipenda sana. Hadi wakina bibi wakatumia. Wakulima ndo wakaanza kuokota Vifaru vya kuvuta matela kutoka mashambani
View attachment 2285639