Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Sasa mkuu hii wameleta si ni kwa ajili ya ulinzi wa anga? Wameleta inaweza vipi kuzuwia HIMARS?
Warusi kweli wameanza kuchanganyikiwa.
Tatizo, hii hauwezi kupiga. Watakaoumia ni Raia. Hii unaweza piga masaki ikaenda Mbagala sababu si kwa kazi hiyo. Wanadai eti wameifanyia programing. Umeishiwa hadi ubadilishe matumizi?
 
Warusi wanaoza Vibaya. Hatuwaziki. Waje wachukue maiti zao
IMG_20220709_230850_903.jpg
 
Sasa mkuu hii wameleta si ni kwa ajili ya ulinzi wa anga? Wameleta inaweza vipi kuzuwia HIMARS?
Warusi kweli wameanza kuchanganyikiwa.
Wameleta kushambulia Maghala ya Silaha ya Ukraine. Wameibadilishia matumizi.
 
Hiyo kitu nmetoka kuifatilia u tube ni hatari kumbe inaweza kudungua hadi kombora..!

Hapo mrusi ajipange
Hii imemfanya Mrusia asisonge mbele kwa zaidi ya saa 35 hata hatua moja, Mrusia anajiuliza maswali na hapati majibu... Inatandika inahama...inatandika inahama Tena kwa Kasi Kama ya Subaru.

Hadi aipatie dawa yake itakuwa ishamtoa damu saana, na USA sio kwamba ndio deadly weapon yake hapana... USA bado hajafungua hata ukurasa wa deadly stock zake.

Mkubwa ni mkubwa tu, USA hawezi kuwa Koro kwenye ishu za Vita kwa pesa na Brain aliyoinvest. Litakufa jitu!
 
Hatari sana

Hivi urusi si Wana nyuklia moja inaitwa "Tsar bomba" tunaambiwa ile ndo FOAB

Father of all bombs[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mmarekani anayo MOAB ile ndio mother of all bomb yaani ndio inazaa mabomu yote Duniani.

Matter of fact, USA na Israel wako kwenye hatua za mwisho za kutengeneza nuclear defense system ya kuyeyusha bomu la nuclear kabla halijatua kwa gamma rays.

So very soon hizi nuclear zitakuwa useless na pia mzigo.

World is moving faster and quick.
 
Hii imemfanya Mrusia asisonge mbele kwa zaidi ya saa 35 hata hatua moja, Mrusia anajiuliza maswali na hapati majibu... Inatandika inahama...inatandika inahama Tena kwa Kasi Kama ya Subaru.

Hadi aipatie dawa yake itakuwa ishamtoa damu saana, na USA sio kwamba ndio deadly weapon yake hapana... USA bado hajafungua hata ukurasa wa deadly stock zake.

Mkubwa ni mkubwa tu, USA hawezi kuwa Koro kwenye ishu za Vita kwa pesa na Brain aliyoinvest. Litakufa jitu!
Marekani imesema ina uwezo wa kuipa Silaha tofauti Ukraine kwa miaka kadhaa bila kuchoka. Yaani ikitoka hii inakuja huu. HIMARS za kawaida sana kwa Mmarekani
 
Jamani nawakatakia Mchana mwema. Haya ndo Urusi amekutana nayo jana Usiku nchini Ukraine. 🤣🤣
 
Leo nashindwa nipost nini niache nini. Kwa ufupi, Urusi Mkoani Kherson wamezidiwa. Hatoki wa kuingia mtu. Bora wajisalimishie upande wa Magharibi. Wakisalimisha Mashariki watakutana na Azov hatapona mtu.

Azov Wanaua hadi Majeruhi kulipiza kisasi wenzao wawili walohukumiwa kunyongwa Urusi.
 
Back
Top Bottom