kikiboxer
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 3,668
- 9,809
Sasa mkuu hii wameleta si ni kwa ajili ya ulinzi wa anga? Wameleta inaweza vipi kuzuwia HIMARS?
Warusi kweli wameanza kuchanganyikiwa.
Warusi kweli wameanza kuchanganyikiwa.
Tatizo, hii hauwezi kupiga. Watakaoumia ni Raia. Hii unaweza piga masaki ikaenda Mbagala sababu si kwa kazi hiyo. Wanadai eti wameifanyia programing. Umeishiwa hadi ubadilishe matumizi?