Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Russia wanatia Aibu. Hapa wanachoma moto mazao, yamewakosea nini?Wapige mabomu kambi za jeshi sio kuchoma moto mazao.
 
Kifaru cha urusi angalia kilivyo chakazwa, hiki hakiwafikishi popote
 
Drone inafanya kazi vizuri
 
Sijajua sababu ya Urusi kuchoma mazao. Hata pro Urusi ukiwauliza hawajibu
IMG_20220708_153636_799.jpg
IMG_20220708_153640_854.jpg
 
Pale unapoiba kifaru cha Urusi🤣🤣🤣
 
RUSSIA Wajinga sana, wameleta Propaganda kuwa HIMARS Wamezilipua zote, CNN wakalazimika kwenda kurekodi wakati zinafanya kazi.
1.
CNN Wakizionyesha HIMMARS Baada ya Russia Claims.
2.https://youtu.be/yaqXJGjCln8?t=104
Russia Propaganda.
Russia akilipua Himars atafanya sherehe, ila hadi sasa inabidi US aingie kazini kuanza tengeneza Himars maana demand itapaa.
Kwa sasa Javelin ni kama zimetulia, maana kazi yake ishaisha
 
Leo Wanajeshi wa Urusi zaidi ya 36 wamekifa kwa Wakati Mmoja kwenye ghala la Silaha pamoja na kwenye base ya Ulinzi wa Anga ya Urusi maeneo ya Nova Kakhovka, Mkoani Kherson. Wengine wengi wamejeruhiwa. Naomba Marekani iwaongezee Wapambanaji HIMARS za kutosha.
 
Angalia Urusi walivyo tupelekea moto wakati wa mapumziko🤣🤣🤣
 
Huko Kharkiv, SBU inamshikilia mchochezi wa mtandao anayeunga mkono Urusi

Mtu huyo kwenye kurasa zake kwenye mitandao ya kijamii aliunga mkono akiwa Ukraine. Urusi wanamtupia picha anapost. Akadai HIMARS zimelipuliwa.. Akatafutwa na kikosi Maalum kwa Usaliti wa Nchi
 
Kazi nzuri za Silaha aina ya multiple-rocket system (MLRS) za Ukraine
 
Ukiupitia huu uzi utasema Ukraine wanafika Moscow kesho!
Ukisikia watu wajinga ndo wewe. Wapi Ukraine walisema wanaenda Moscow? Ukraine wanajilinda wavamizi na kuwafukuza warudi kwao na wamefanikio. Urusi ndo alisema ndani ya siku tatu itakuwa KYIV. SASA MIEZI 5.. Huna cha kuongea kaa kimya au nenda kwenye uzi wa mabishano. Huu uzi unatuhusu sisi tunaounga Ukraine kujilinda dhidi ya Wavamizi Urusi. Kama unaunga mkono Urusi, kaandike huko, mbona hatuwasumbui. Mnasema mumelipua HIMARS zote, umeona mtu anawabishia? Endelea kupashana habari mnazotaka kusikia
 
Back
Top Bottom