figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #3,641
Russia wanatia Aibu. Hapa wanachoma moto mazao, yamewakosea nini?Wapige mabomu kambi za jeshi sio kuchoma moto mazao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ndio lengo kubwa, Urusi hana artillery inayofika zilipo himars, kwa sasa himars zahitaji ammunations zakutosha na range kubwaHadi Sasa imemsaidia saana kuwapush Russians back... Maana Hadi Sasa Russia hawana Namna ya kuzizuia HIMARS zinapenya tu!
Ndo maana niliwaambia Warusi wa Buza kuwa hii vita ni ya muda mrefu, kwa sasa Himars zinafanya kazi kubwa ya kuvunja kuvunja depots za silahaSubiri tuikamate Vizuri Kherson. Daraja linaondoka tu.
Intelligence ya uhakika ndo maana husikii raia kauliwaHapa ni Shakhtarsk, unaambiwa masaa manne hii mijengo inalipuka tu baada ya kurushiwa Kombora. Warusi walificha nini humu?
View attachment 2284123
Russia akilipua Himars atafanya sherehe, ila hadi sasa inabidi US aingie kazini kuanza tengeneza Himars maana demand itapaa.RUSSIA Wajinga sana, wameleta Propaganda kuwa HIMARS Wamezilipua zote, CNN wakalazimika kwenda kurekodi wakati zinafanya kazi.
1.
CNN Wakizionyesha HIMMARS Baada ya Russia Claims.
2.https://youtu.be/yaqXJGjCln8?t=104
Russia Propaganda.
Ukisikia watu wajinga ndo wewe. Wapi Ukraine walisema wanaenda Moscow? Ukraine wanajilinda wavamizi na kuwafukuza warudi kwao na wamefanikio. Urusi ndo alisema ndani ya siku tatu itakuwa KYIV. SASA MIEZI 5.. Huna cha kuongea kaa kimya au nenda kwenye uzi wa mabishano. Huu uzi unatuhusu sisi tunaounga Ukraine kujilinda dhidi ya Wavamizi Urusi. Kama unaunga mkono Urusi, kaandike huko, mbona hatuwasumbui. Mnasema mumelipua HIMARS zote, umeona mtu anawabishia? Endelea kupashana habari mnazotaka kusikiaUkiupitia huu uzi utasema Ukraine wanafika Moscow kesho!