Mdogo mdogo Ukraine ataanza wasogeza Warusi nyuma, hii vita hakuna anayetaka Urusi ashinde hata kwa dakikaUkraine anakosa silaha tu. Mfano angekuwa na M777 Howitzer 500, HIMARS 50, halafu tupate zile Caesar za Ufaransa japo 50 na NASAMS 10 tu, Mrusi atakuwa hana chake. Ukraine ana Jeshi bora la Ardhini, wanakosa silaha za maana tu.
Ndo maana nasema logistics za Urusi hazifai hata nukta[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2282378
Wanasalitiana. Urusi kuna wanaotaka vita wengine hawataki. Hii sio Vita ya kizalendo kwa Urusi sema wanaogopa kumuambia Putin. Ukraine wanapigana kufa kupona kutetea Malalio yao. Ukraine ni kwao, wakimbie waenda wapi? Wanapambania ardhi yao, watoto wao na Utu wao.Mshangao mkubwa ni kelele zake mara oooh nina bombers
Nikasema heee mbona hapeleki Kyiv
Urusi mkwala sana ila uwezo butu
Kawaulize Warusi wenzioWakuu hii imekaaje.? japo siamini sana ila kama ni kweli bac Ukraine watakuwa ni Wazembe sana. aya madude si yanauwezo wa kukaa mpakani mwa Poland na yakarusha makombora popote na yakaenda kupaki Poland ili adui asiyapate au nakosea wakuu?View attachment 2282649
Mkuu mimi sio mrusi nitake radhi tafazari ndugu yangu mimi nipo na Ukraine mpka Warusi wakimbie UkraineKawaulize Warusi wenzio
Kakutana na wanaume wamemwonesha Iyo battle ngumu ni niniBrest atakumbukwa na Jina lake litabaki kwenye Vitabu kwa Quote yake ya: "The most difficult battle is the one in which I die," Ivan 'Brest' Marchuk, the commander of the Volat battalion of the Kalinouski regiment.
View attachment 2282590
Mkuu we unamiliki jukwaa humu jamiiforum?Tengenezeni jukwaa lenu la kuweka picha za Ukraine akipigwa
figganigga hamuelewani nyie kwa nyie.Inasikitisha sana ππππMkuu mimi sio mrusi nitake radhi tafazari ndugu yangu mimi nipo na Ukraine mpka Warusi wakimbie Ukraine
Mkuu sasa kama nyie hamjuani si mtapigana risasi[emoji28][emoji28][emoji28]Mkuu mimi sio mrusi nitake radhi tafazari ndugu yangu mimi nipo na Ukraine mpka Warusi wakimbie Ukraine
Samahani sana Mkuu mimi jana nliona inaongelewa na Urusi kwamba Wamelipua HIMARS 2, nilikosa Ushahidi wa kudhibitisha. So naona kama propaganda hadi nitakapopata picha ya HIMARS iloharibiwa. Lakini hadi muda huu sijapata picha zaidi ya Maneno. Mimi mtu wa picha ndo naamini..Mkuu mimi sio mrusi nitake radhi tafazari ndugu yangu mimi nipo na Ukraine mpka Warusi wakimbie Ukraine
Kumbe mnatufuatilia kimya kimya. Vizuri. Tusaidieni kuverify, je, Mumelipua mzigo wetu Donbas? Tunaomba pichafigganigga hamuelewani nyie kwa nyie.Inasikitisha sana ππππ
Usiwasikilizw Warusi, hivi karibuni walisema wameua Majenerals 50 eti wakiwa kwenye kikao huko mpakani mwa Ukraine. Ila hadi leo hawajatupa hata jina moja la waliyemuua. So habari zao chunguza kwanzaWakuu hii imekaaje.? japo siamini sana ila kama ni kweli bac Ukraine watakuwa ni Wazembe sana. aya madude si yanauwezo wa kukaa mpakani mwa Poland na yakarusha makombora popote na yakaenda kupaki Poland ili adui asiyapate au nakosea wakuu?View attachment 2282649
Wazushi hao warusi wanatapatapa tuUsiwasikilizw Warusi, hivi karibuni walisema wameua Majenerals 50 eti wakiwa kwenye kikao huko mpakani mwa Ukraine. Ila hadi leo hawajatupa hata jina moja la waliyemuua. So habari zao chunguza kwanza