Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Ukraine anakosa silaha tu. Mfano angekuwa na M777 Howitzer 500, HIMARS 50, halafu tupate zile Caesar za Ufaransa japo 50 na NASAMS 10 tu, Mrusi atakuwa hana chake. Ukraine ana Jeshi bora la Ardhini, wanakosa silaha za maana tu.
Mdogo mdogo Ukraine ataanza wasogeza Warusi nyuma, hii vita hakuna anayetaka Urusi ashinde hata kwa dakika
 
Brest atakumbukwa na Jina lake litabaki kwenye Vitabu kwa Quote yake ya: "The most difficult battle is the one in which I die," Ivan 'Brest' Marchuk, the commander of the Volat battalion of the Kalinouski regiment.
 
Mshangao mkubwa ni kelele zake mara oooh nina bombers
Nikasema heee mbona hapeleki Kyiv

Urusi mkwala sana ila uwezo butu
Wanasalitiana. Urusi kuna wanaotaka vita wengine hawataki. Hii sio Vita ya kizalendo kwa Urusi sema wanaogopa kumuambia Putin. Ukraine wanapigana kufa kupona kutetea Malalio yao. Ukraine ni kwao, wakimbie waenda wapi? Wanapambania ardhi yao, watoto wao na Utu wao.
 
Wakuu hii imekaaje.? japo siamini sana ila kama ni kweli bac Ukraine watakuwa ni Wazembe sana. aya madude si yanauwezo wa kukaa mpakani mwa Poland na yakarusha makombora popote na yakaenda kupaki Poland ili adui asiyapate au nakosea wakuu?
Screenshot_20220706-164659_Twitter.jpg
 
Mkuu mimi sio mrusi nitake radhi tafazari ndugu yangu mimi nipo na Ukraine mpka Warusi wakimbie Ukraine
Samahani sana Mkuu mimi jana nliona inaongelewa na Urusi kwamba Wamelipua HIMARS 2, nilikosa Ushahidi wa kudhibitisha. So naona kama propaganda hadi nitakapopata picha ya HIMARS iloharibiwa. Lakini hadi muda huu sijapata picha zaidi ya Maneno. Mimi mtu wa picha ndo naamini..

Hadi sasa hakuna HIMARS Ilolipuliwa. Na leo saa moja usiku zimefanta kazi
 
Tatyana Chubar aka "fire-girl". Ni spotter wa self-propelled howitzer na mama wa watoto wawili. Yupo Frontline Ukraine
 
Wakuu hii imekaaje.? japo siamini sana ila kama ni kweli bac Ukraine watakuwa ni Wazembe sana. aya madude si yanauwezo wa kukaa mpakani mwa Poland na yakarusha makombora popote na yakaenda kupaki Poland ili adui asiyapate au nakosea wakuu?View attachment 2282649
Usiwasikilizw Warusi, hivi karibuni walisema wameua Majenerals 50 eti wakiwa kwenye kikao huko mpakani mwa Ukraine. Ila hadi leo hawajatupa hata jina moja la waliyemuua. So habari zao chunguza kwanza
 
Usiwasikilizw Warusi, hivi karibuni walisema wameua Majenerals 50 eti wakiwa kwenye kikao huko mpakani mwa Ukraine. Ila hadi leo hawajatupa hata jina moja la waliyemuua. So habari zao chunguza kwanza
Wazushi hao warusi wanatapatapa tu
 
Back
Top Bottom