figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #3,761
Ishapitwa na wakati[emoji1258][emoji635][emoji298]The US ambassador in Moscow appealed to American citizens: leave Russia now or think of a plan for how to do without the help of the embassy.
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Mbona hatukuelewi? Unaleta Story za mwezi wa tatu. Tunataka za za leo jana au kesho.[emoji1258][emoji635][emoji298]The US ambassador in Moscow appealed to American citizens: leave Russia now or think of a plan for how to do without the help of the embassy.
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Huyu Jamaa ni Pro Urusi. Ameona watu wao hawana cha kupost kaja huku. Pro Urusi wapo kama waemnyeshewa, hawajui nini kinaendelea Vitani. Wanakuja kutupangia vya kupostIshapitwa na wakati
Waulize Warusi wenzio. Tangu Jumatano wamekamata mji gani?Jamani tupeane updates hadi sasa Warusi wamerudishwa nyuma kwenye miji gani?
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Duuh ni hatari frontline watu wanawindana ukizubaa unakula shaba.Frontline 3
View attachment 2286613
Na za mizoga usisahauWewe wajua kwa masaa 32, Urusi hawajasonga mbele sehemu yoyote. Vifaru Vimewaishia, leo Urusi imetua njia ya Crimea kuingiza Vifaru Mkoani Kherson. Ila HIMARS ipo.
Jana HIMARS imesambaratisha kambi nyingi za Jeshi la Urusi. Kambi zilizochakazwa kwa HIMARS ni ile ya Mariupol, Alchevsk, Shakhtarsk, Kirovske, Khartsyzk, Chystiakove, Zuhres, Prydorozhnje, Ilovaisk, Kalina Mine & Leninskyi Mkoani Donetsk.
Picha nitaweka taratibu japo nyingine nshaweka
Hii Vita Ni ya Kisayansi sana sasa hivi, Communication ni ya Hali ya juu sana, Mrusi pamoja na kusifiwa lakini kwenye Digital Information amefeli sana, Kila kinachoendelea anakuwa monitored.Na 100% US ndo anatoa intel na coordinates za wapi pakupiga, maana hataki kwa namna yoyote ile himars idakwe au ilipuliwe
Maiti ya Mrusi ina faida gani?Wacha aposti tu as long as ni Mrusi.Kuposti picha za maiti, tena zingine zimeharibika vibaya ni kiashiria cha ugonjwa wa akili.
Unapo-posti picha za maiti zilizoharibika vibaya unafaidika na nini?Maiti ya Mrusi ina faida gani?Wacha aposti tu as long as ni Mrusi.
Tuwekee hao wavamizi tuone walivyoshikishwa adabuKuna taarifa kwamba maafisa wa Urusi zaidi ya 14 akiwemo jeneral mmoja na colonel wamekufa Leo mkoani Kherison baada ya shambulio la wanajeshi wa Ukureine kwa kutumia HIMARS .Airfield ya Urusi imehalibiwa yote,kumbe mfumo wa Urus S400 ni Ziro tu .Naweka picha muda sio mrefu.