Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Warusi walijaribu kuficha Vifaru haukusaidia🤣🤣🤣

Hiki kikosi cha 93rd brigade cha Makomandoo wanaosaidia Ukraine ni hatari
 
[emoji1258][emoji635][emoji298]The US ambassador in Moscow appealed to American citizens: leave Russia now or think of a plan for how to do without the help of the embassy.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Mbona hatukuelewi? Unaleta Story za mwezi wa tatu. Tunataka za za leo jana au kesho.
 
Jamani tupeane updates hadi sasa Warusi wamerudishwa nyuma kwenye miji gani?

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Waulize Warusi wenzio. Tangu Jumatano wamekamata mji gani?
Screenshot_20220710-213801.png
 
Wakuu kuna Mtu kakutana na GMLRS Ukraine? Nasikia zimeletwa
 
Wewe wajua kwa masaa 32, Urusi hawajasonga mbele sehemu yoyote. Vifaru Vimewaishia, leo Urusi imetua njia ya Crimea kuingiza Vifaru Mkoani Kherson. Ila HIMARS ipo.

Jana HIMARS imesambaratisha kambi nyingi za Jeshi la Urusi. Kambi zilizochakazwa kwa HIMARS ni ile ya Mariupol, Alchevsk, Shakhtarsk, Kirovske, Khartsyzk, Chystiakove, Zuhres, Prydorozhnje, Ilovaisk, Kalina Mine & Leninskyi Mkoani Donetsk.

Picha nitaweka taratibu japo nyingine nshaweka
Na za mizoga usisahau
 
Na 100% US ndo anatoa intel na coordinates za wapi pakupiga, maana hataki kwa namna yoyote ile himars idakwe au ilipuliwe
Hii Vita Ni ya Kisayansi sana sasa hivi, Communication ni ya Hali ya juu sana, Mrusi pamoja na kusifiwa lakini kwenye Digital Information amefeli sana, Kila kinachoendelea anakuwa monitored.
 
Kuna taarifa kwamba maafisa wa Urusi zaidi ya 14 akiwemo jeneral mmoja na colonel wamekufa Leo mkoani Kherison baada ya shambulio la wanajeshi wa Ukureine kwa kutumia HIMARS .Airfield ya Urusi imehalibiwa yote,kumbe mfumo wa Urus S400 ni Ziro tu .Naweka picha muda sio mrefu.
 
Tuwekee hao wavamizi tuone walivyoshikishwa adabu
 
Back
Top Bottom