Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Urusi Mawasiliano hayapo Vizuri. Wameuana wenyewe kwa wenyewe. Kila pande wamekufa. Kila mmoja alikuwa anaona mwenzie adui. So ni faida kwa UKRAINE. Wameuana sana, zaidi ya 14.

Inadaiwa kikosi cha 2nd battalion of the 1st army corps
 
Hatari naona mambo yanazidi kuwa Magumu kwa Wavamizi warusi
 
Ukraine wamefanikiwa kuteka Pantsir S-1 air defense missile system ya Urusi. Ni ushindi Mkubwa. Baadaye tutajua kama ni full set au La!. Hii ni aibu kwa Urusi. Ooh! Inafanya kazi vizuri.

Hongera kwa Kokosi cha 2nd battalion of the SSO “Azov”
 
Ramani ya Sehemu 14 ambazo HIMARS ilisambaratiaha July 11

Nova Kakhovka (x2), Alchevsk (x2), Tavriysk, karibu na Kherson Airfield, Kherson Military Base, Vijiji Viwili Kaskazini mwa Kherson, Oleshky Sands, Tokmak, Luhansk City, Shakhtarsk, karibu na Mjin wa Velyka Shyshivka, na Tavriysk
 
Hii ilikuwa kambi ya jeshi la Urusi. Imelimwa😂😂
Your browser is not able to display this video.
 
Unaweza fikiri ni Movie ila ndo hivyo binadamu wanauana
Your browser is not able to display this video.
 
Angalia Urusi wanavyo katwa katwa Miguu
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…