figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #3,781
Wakuu, kuna habari nimesikia bado nafuatilia kwamba Silaha ambayo Urusi inajivunia aina ya S-400 air defense system hiana uwezo wa kuangusha HIMARS missiles
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Urusi Mawasiliano hayapo Vizuri. Wameuana wenyewe kwa wenyewe. Kila pande wamekufa. Kila mmoja alikuwa anaona mwenzie adui. So ni faida kwa UKRAINE. Wameuana sana, zaidi ya 14.Kuna taarifa kwamba maafisa wa Urusi zaidi ya 14 akiwemo jeneral mmoja na colonel wamekufa Leo mkoani Kherison baada ya shambulio la wanajeshi wa Ukureine kwa kutumia HIMARS .Airfield ya Urusi imehalibiwa yote,kumbe mfumo wa Urus S400 ni Ziro tu .Naweka picha muda sio mrefu.
Hatari naona mambo yanazidi kuwa Magumu kwa Wavamizi warusiKuna taarifa kwamba maafisa wa Urusi zaidi ya 14 akiwemo jeneral mmoja na colonel wamekufa Leo mkoani Kherison baada ya shambulio la wanajeshi wa Ukureine kwa kutumia HIMARS .Airfield ya Urusi imehalibiwa yote,kumbe mfumo wa Urus S400 ni Ziro tu .Naweka picha muda sio mrefu.
Sisi twatoa uthibitisho, wao hawana uthibitishoKherson, HIMARS imepaaharibu. Hii ni picha ya Base ya Urusi kabla na baada ya kufikiwa
View attachment 2287116View attachment 2287117
Safi mnoooUkraine wamefanikiwa kuteka Pantsir S-1 air defense missile system ya Urusi. Ni ushindi Mkubwa. Baadaye tutajua kama ni full set au La!. Hii ni aibu kwa Urusi. Ooh! Inafanya kazi vizuri.
Hongera kwa Kokosi cha 2nd battalion of the SSO “Azov”
View attachment 2287290View attachment 2287291View attachment 2287292
Na ukiposti unapungukiwa na nini?Unapo-posti picha za maiti zilizoharibika vibaya unafaidika na nini?
Acha mabishano ya kitoto,hujazuiliwa ku-posti kama inakufurahisha endelea.Na ukiposti unapungukiwa na nini?
Kwan umelazimishwa kufungua, mbona kuna majukwa na nyuzi nyingi tu.Acha mabishano ya kitoto,hujazuiliwa ku-posti kama inakufurahisha endelea.
Fanya yako na wewe, unawashwa kumjibia ni mumeo huyo.Kwan umelazimishwa kufungua, mbona kuna majukwa na nyuzi nyingi tu.
Mkuu achana na hawa pro Urusi. Wanaambiaba waje huku kuchokoza ili wapate wa kutukanana naye. Dawa ni kuwachunia tu. Wasikupotezee mudaKwan umelazimishwa kufungua, mbona kuna majukwa na nyuzi nyingi tu.