Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Wakuu, kuna habari nimesikia bado nafuatilia kwamba Silaha ambayo Urusi inajivunia aina ya S-400 air defense system hiana uwezo wa kuangusha HIMARS missiles
U.S.-Army-Missiles-e1656081721344-768x508.jpg
 
Kuna taarifa kwamba maafisa wa Urusi zaidi ya 14 akiwemo jeneral mmoja na colonel wamekufa Leo mkoani Kherison baada ya shambulio la wanajeshi wa Ukureine kwa kutumia HIMARS .Airfield ya Urusi imehalibiwa yote,kumbe mfumo wa Urus S400 ni Ziro tu .Naweka picha muda sio mrefu.
Urusi Mawasiliano hayapo Vizuri. Wameuana wenyewe kwa wenyewe. Kila pande wamekufa. Kila mmoja alikuwa anaona mwenzie adui. So ni faida kwa UKRAINE. Wameuana sana, zaidi ya 14.

Inadaiwa kikosi cha 2nd battalion of the 1st army corps
 
Kuna taarifa kwamba maafisa wa Urusi zaidi ya 14 akiwemo jeneral mmoja na colonel wamekufa Leo mkoani Kherison baada ya shambulio la wanajeshi wa Ukureine kwa kutumia HIMARS .Airfield ya Urusi imehalibiwa yote,kumbe mfumo wa Urus S400 ni Ziro tu .Naweka picha muda sio mrefu.
Hatari naona mambo yanazidi kuwa Magumu kwa Wavamizi warusi
 
Ukraine wamefanikiwa kuteka Pantsir S-1 air defense missile system ya Urusi. Ni ushindi Mkubwa. Baadaye tutajua kama ni full set au La!. Hii ni aibu kwa Urusi. Ooh! Inafanya kazi vizuri.

Hongera kwa Kokosi cha 2nd battalion of the SSO “Azov”
0802d5a695c0721b2d394bb247def618.jpeg
0802d5a695c0721b2d394bb247def618-780x470.jpeg
20220711_164614.jpg
 
Ramani ya Sehemu 14 ambazo HIMARS ilisambaratiaha July 11

Nova Kakhovka (x2), Alchevsk (x2), Tavriysk, karibu na Kherson Airfield, Kherson Military Base, Vijiji Viwili Kaskazini mwa Kherson, Oleshky Sands, Tokmak, Luhansk City, Shakhtarsk, karibu na Mjin wa Velyka Shyshivka, na Tavriysk
20220712_071423.jpg
 
Hii ilikuwa kambi ya jeshi la Urusi. Imelimwa😂😂
 
Unaweza fikiri ni Movie ila ndo hivyo binadamu wanauana
 
Angalia Urusi wanavyo katwa katwa Miguu
 
Back
Top Bottom