Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Bro Mi nilishtuka kwamba ile mifumo ana itoa Kama simu za Tecno haipiti miaka 10 asha toa mara S400 saiv anatest S500 muda wa reaserch wanapata wap?wamarekan wa patriotic tangau miaka 80s wanafanyia tu upgrade huo mfumo.
 
[emoji16][emoji16][emoji16]mifumo kama tecno.

Wana ka uchwao utasikia tsar bomb mana sijui adui zetu wajipange. Urusi bhana.

Pale maandishi matatu wametulia na minuteman 3 kimyaaa wanawachora tu
 
Mavyuma kibao na makubwa kumbe bure tu mkuu.
Kumbuka meli yao ya moskova ilipigwa na vi drone vya uturuki pamoja na kuwa ilifungwa hayo machuma sijui S300.
Samahani Mkuu, naomba niweke kumbukumbu sawa. Hii meli ilizamishwa na Makombora mawili ya Neptune cruise missiles. Neptune cruise missiles zinatengenezwa Ukraine na Luch Design Bureau.
 
Kabla HIMARS hazijafika. Sasa hivi ni majivu
Your browser is not able to display this video.
 
Tukiendelea hivi kwa mwezi mmoja tu, Urusi anakimbia. Ukraine umefanya mashambulizi ya nguvu Maeneo ya Mykolayiv, Kherson, Crimea, Zaporizhzhya na Donetsk. Urusi siku ya pili hawajasonga mbele. Na mbwembwe zimeisha. Sasa nimeelewa mbinu ya Yule Komando wa Ukriane alosema, Tulipue maghala yao ya Silaha, Frontline yao ikose nguvu. Ndo kimetokea. Urusi ikisikia Ukraine wanakuja... Wanatoka mbio
Your browser is not able to display this video.
 
Warusi walificha Silaha zao hapa Sokol Viwandani. Zimekwenda na maji. HIMARS zinanusa maghala yalipo hadi Urusi wameogopa kusonga mbele. Badala ya kushambulia, nao wameanza kujilinda🤣🤣
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…