Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Mawasiliano ya Urusi yamedakwa. Wana hali mbaya
 
IMG_20220715_105857_939.jpg
 
Jana Urusi wamevamia kwa ndege Kisiwa cha Snake. Mabomu yao yakaishia baharini, hawajafanikiwa. Mara ya kwanza walisema kisiwa kimeachiwa kwa hiari. Mbona sasa wanashambulia? Ukweli ni kwamba mabomu ndo yalifanya watoke.
20220715_112426.jpg
 
Warusi wqmejifanya kuvamia Spirne, Bilohorivka, Vershyna na Kodema Mkoani Donetsk.

Lakini wamefurushwa na Warusi wengi wamekufa na majeruhi ni wengi. Imewalazimu Urusi kuretreat. 15 July 2022
20220715_113014.jpg
 
Jana Urusi wamevamia kwa ndege Kisiwa cha Snake. Mabomu yao yakaishia baharini, hawajafanikiwa. Mara ya kwanza walisema kisiwa kimeachiwa kwa hiari. Mbona sasa wanashambulia? Ukweli ni kwamba mabomu ndo yalifanya watoke.
View attachment 2291246
Hawana shabaha au walishambulia kwa woga bila umakini au ni wanafunzi wa mazoezi ya kutumia ndege kwa vitendo(Field practicals) - Kama ingeshushwa mojawapo ya hizo ndege ingependeza sana.
 
Back
Top Bottom