Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Poland inaleta Mzigo Ukraine. Hivi ni Vifaru vya Poland aina ya PT-91 Twardy. Vinasafirishwa kuja Ukraine.. Hivi vinatosha Battalion moja. Ila imeahidi kuleta Vifaru aina hii 232.
 
Rusia wamekutana na Risasi za kikatili
IMG_20220715_173151_751.jpg
 
Urusi wamekutana na Risasi za Kikatili za vijana wasio na kanuni. Picha za Warusi leo Zinatosha.. Sababu wamekufa wengi
IMG_20220715_173223_681.jpg
 
Bado kidogo Bro. Inatakiwa waishe wavamizi wote ili Taifa litulie na Amani iwepo na watu wafanye kazi za maendeleo. Sio kubeba SMG,RPG, HG na makorokoro kama hayo kila siku kuwindana tu.
Ngoja niongeze mbili za Risasi za Kikatili
 
Urusi wamekutana na Risasi za Kikatili za vijana wasio na kanuni
 
Marubani wa ndege vita wa Ukraine kufundishwa jinsi ya kutumia F15&16
 
Kuondoa Kerch Bridge inabidi watu wajitoe mhanga haswa.
Inabidi explosive angalau zaidi ya tani 10
 
Back
Top Bottom