Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Na sisi wanamigambo tutafikiwa lini?
nw29tn.jpg
 
Iran Hana silaha za kuchezea ndio maana wameenda mara mbili kuomba ila Kama Iran anaonekana hatoi ushirikiano wa kutosha.

Iran mwenyewe ana mfupa wa muisrael ulishamshinda tangia zamani.
Hizo drone Iran angeziamini angezitumia kuwawinda walio muua Qassem
 
Haya ni makaburi huko Sevastopol, Crimea. Ni Wanajeshi wa Urusi waliokuwa Kisiwa cha Snake. Kumbe walokufa hawajarudishwa Urusi, Wamezikwa Crimea. Aibu. Hawataki Wananchi wa Urusi wajue kama Wanajeshi wa Urusi Wanakufa. Wanasusa hadi mizoga yao.

Kadiri Urusi inadhupaza shingo ndivyo Makaburi yao yanaongezeka.
20220717_120121.jpg
20220717_120123.jpg
20220717_120126.jpg
20220717_120128.jpg
 
Back
Top Bottom