figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #3,921
Jeshi la Urusi makombora yake mengi yametua kwenye makazi ya Watu au sehemu zenye mikusanyiko ya Watu, kuliko Makombora yaliyotua kwenye kambi za Jeshi la Ukraine. Hatu wa maswala ya vita wanahisi mabomu yao hayana shabaha. Raia wengi, watoto wameuliwa na Urusi