Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Jeshi la Urusi makombora yake mengi yametua kwenye makazi ya Watu au sehemu zenye mikusanyiko ya Watu, kuliko Makombora yaliyotua kwenye kambi za Jeshi la Ukraine. Hatu wa maswala ya vita wanahisi mabomu yao hayana shabaha. Raia wengi, watoto wameuliwa na Urusi
20220715_113829.jpg
 
Risasi za Kikatili za vijana wasio na kanuni Azov wanafanya yao. Mrusi lazima aadabishwe
IMG_20220715_121632_963.jpg
 
Back
Top Bottom