Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 12,001
- 27,175
Wanakaa na mavyuma wanajidanganya yana uwezo kumbe wanajilisha upepo tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanakaa na mavyuma wanajidanganya yana uwezo kumbe wanajilisha upepo tu
Mavyuma kibao na makubwa kumbe bure tu mkuu.Wanakaa na mavyuma wanajidanganya yana uwezo kumbe wanajilisha upepo tu
Hahahaaa hii kaliHali ya warusi uko Ukraine wakiingia na kutokaView attachment 2288662
Bro Mi nilishtuka kwamba ile mifumo ana itoa Kama simu za Tecno haipiti miaka 10 asha toa mara S400 saiv anatest S500 muda wa reaserch wanapata wap?wamarekan wa patriotic tangau miaka 80s wanafanyia tu upgrade huo mfumo.Kuna taarifa kwamba maafisa wa Urusi zaidi ya 14 akiwemo jeneral mmoja na colonel wamekufa Leo mkoani Kherison baada ya shambulio la wanajeshi wa Ukureine kwa kutumia HIMARS .Airfield ya Urusi imehalibiwa yote,kumbe mfumo wa Urus S400 ni Ziro tu .Naweka picha muda sio mrefu.
[emoji16][emoji16][emoji16]mifumo kama tecno.Bro Mi nilishtuka kwamba ile mifumo ana itoa Kama simu za Tecno haipiti miaka 10 asha toa mara S400 saiv anatest S500 muda wa reaserch wanapata wap?wamarekan wa patriotic tangau miaka 80s wanafanyia tu upgrade huo mfumo.
Samahani Mkuu, naomba niweke kumbukumbu sawa. Hii meli ilizamishwa na Makombora mawili ya Neptune cruise missiles. Neptune cruise missiles zinatengenezwa Ukraine na Luch Design Bureau.Mavyuma kibao na makubwa kumbe bure tu mkuu.
Kumbuka meli yao ya moskova ilipigwa na vi drone vya uturuki pamoja na kuwa ilifungwa hayo machuma sijui S300.
Everything said by a communist country is a Propaganda.
Kombora moja tu linatosha. Urusi wanajua what's next. Ndo maana wanajihami. Crimea inarudi Ukraine soonNaona Daraja la Crimea limewekea defence systems zaidi ya 5
Really flabbergasting propaganda😱Everything said by a communist country is a Propaganda.