Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hii ndo inaitwa 2A65 Msta-B howitzer. Ikisambaratisha Wavamizi
Your browser is not able to display this video.
 
Maneo ya Vita katika ramani. Tangu Wavamizi. Na Leo siku ya tatu Urusi hawajasogea mbele hata hatua moja. Sana sana wanaretreat
Your browser is not able to display this video.
 
Wakuu, leo kifo cha huyu mtoto, kama mzazi kimeniuma. Warusi wanashindwa kupambana na jeshi la Ukraine huko mtaani, wanakuja mjini kubomoa nyumba za watu na kuchoma moto mashamba.
Your browser is not able to display this video.
 
Ukraine wameteketeza ghala lingine kubwa la Silaha. Linalipuka hilo si mchezo. Ni mama mabomu ya Mbagala. Hapa ni Stakhanov
Your browser is not able to display this video.
 
Utajua game, kumbe Mrusi ndo anakufa hivyo
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…