mabui melafulu
Member
- Aug 17, 2018
- 73
- 83
DahWarusi hawataki kuja kuchukua mizoga yao. Wanamsusia nani?
View attachment 2286105View attachment 2286106
Kinatumiwa na Ukraine kupeleka moto kwa Warusi waliokuwa Awali wanakimiliki i.e. Back to Sender. Hahaha...Hiki Kifaru cha kubeba wanajeshi. Kilikuwa cha Urusi tukawanyang'anya na sasa chatumiwa na Ukraine
View attachment 2296618
Tatizo muda, mambo mengi.. Umevamiwa hutapata muda wa kufuta. Kumbuka hawa ni Frontline.. Wanaua hadi sisimiziKinatumiwa na Ukraine kupeleka moto kwa Warusi waliokuwa Awali wanakimiliki i.e. Back to Sender. Hahaha...
Ila waifute Chap hiyo chata ya Z ili kuepusha Friendly Fire.
Kwahiyo kinachokuchekesha nini hasa?Huu uzi nikiwa na stress naingia hapa nachekaaaaaaa kisha nalala zangu.
Yaan mtoa mada anajijibu mwenyewe, anacheka mwenyewe, anajipa taarifa na kujikanusha mwenyewe.
Jamaa linakuja kwenye huu uzi linacheka weee hadi hisia zinamwishia. Hupaswi kumuuliza hilo swali Mkuu; ni wa kuhurumia.Kwahiyo kinachokuchekesha nini hasa?
Wana uzi wao kule wanatoa source kwenye account za twitter na telegram za warusi. Hakuna cha video wala picha kama huku.Jamaa linakuja kwenye huu uzi linacheka weee hadi hisia zinamwishia. Hupaswi kumuuliza hilo swali Mkuu; ni wa kuhurumia.