Renegade
JF-Expert Member
- Mar 18, 2009
- 7,221
- 6,940
Hawa watu(Ukraine) kila siku nawaombea asee, Wanaonewa bila sababu ya Msingi.Ukisikia Frontline ndo hii. Napost Video tatu za Warusi wakitupelekea moto. Hawana shabaha. Pia Mungu yupo Upande wa Ukraine, so hatuogopi
View attachment 2297241