TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Ushahidi usiotiliwa shaka ndiyo hasa inatakiwa hapa. Asilete, screenshot za video games baaasi!!!Mkuu, Uko sahihi lakini sio lazima uwe kwenye eneo la tukio ili uweze kutoa taarifa. Kumbuka Teknolojia ime-advance kiasi kwamba hakuna tena jambo lililofichika chini ya hili jua. Hawabahatishi au tuseme sio "Probability of an event" - vinginevyo ajitokeze anayekanusha kwa uthibitisho. Kumbuka majuzi kati hapo wapo jamaa walikuwa wakisema Mrusi hafi lakini zilipoanza kuwekwa picha za mizoga yao ikiwepo na ile walioshindwa kuibeba ck hizi wapo kimya.......