Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Mkuu unatujazia miandishi tu huku uzi huu sio wa kubishana tumewachia kule huu wa video na picha maneno hayana nafasi
Sawa. Basi na hoja zenu ama maswali yaulizeni kwa kutumia video ama picha.
Kama mwakerwa na maelezo ya maandishi. Asante.
 
Ukiangalia hizi propaganda za picha za kujirudia rudia unaweza sema Urusi inapigwa na Ukraine imekomboa maeneo yote sasa nenda kwenye ramani ya vita utakuta wajuba wa kirusi wanaitafuna inchi kama mpunga ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
 
Urusi wamekutana na Risasi za Kikatili za vijana wasio na kanuni. Wamekufa kama sisimizi🤣🤣🤣. Sijui walikuja Ukraine kutafuta nini.. Dawa imewaingia🤣🤣🤣
 
Urusi wamekutana na Risasi za Kikatili za vijana wasio na kanuni Azov.
 
Urusi wamekutana na Risasi za Kikatili za vijana wasio na kanuni. Wamekufa kama sisimizi🤣🤣🤣. Sijui walikuja Ukraine kutafuta nini.. Dawa imewaingia🤣🤣🤣
View attachment 2299126
Halafu anakuja jamaa (hapo juu)kutoka uzi wa upande ule anadai kwamba kwenye ramani inaonesha Mrusi anaitafuna nchi kama mpunga.......... cjui amewezaje kuwaona kwenye ramani wakitafuna.....
1658427218499.png
1658427218499.png
 
HIMARS ilivyosambaratisha ghala la Silaha za Urusi huku Wanajeshi wa Urusi wakishuhudia. Hawana cha kufanya
 
Hahahaha🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom