Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Baada ya HIMARS Kuingia, sasa Urusi wanaishambuli Kharkiv kutokea Urusi. Nini kifanyike ili kuizima Silaha inayoshambulia kutokea Urusi? HI wamesema zisishambulie nje ya Ukraine.
20220722_195553.jpg
 
Hata Mkuu wa MI6 ya Uingereza kasema Jana kwamba ndani ya miezi miwili ijayo Urusi hatakua Tena na uwezo wa kupigana.
Inawezekana. Urusi ilijiandaa kwa hii Vita, ukiangalia Maghala ya Silaha yaliyoharibiwa Donbas Kherson kherkyiv, hakika walijiandaa. Sasa hivi wakisikia Ukreina wanakuja basi wanakimmbia mbio.

Angalia picha. Kabla na baada ya HIMARS maghala ya Silaha na risasi yalivyo.
20220722_205224.jpg
 
Hata Mkuu wa MI6 ya Uingereza kasema Jana kwamba ndani ya miezi miwili ijayo Urusi hatakua Tena na uwezo wa kupigana.
Jamaa wanakufa kama sisimizi ubaya viongozi wao hawajali kuhusu maisha ya askari wao. We fikiria wamepigana tu na ukraine miezi 6 lakini wameshapoteza askari wengi kuliko US alivopoteza kwa miaka 20 vita vya Afghanistan.
 
Inawezekana. Urusi ilijiandaa kwa hii Vita, ukiangalia Maghala ya Silaha yaliyoharibiwa Donbas Kherson kherkyiv, hakika walijiandaa. Sasa hivi wakisikia Ukreina wanakuja basi wanakimmbia mbio.

Angalia picha. Kabla na baada ya HIMARS maghala ya Silaha na risasi yalivyo.
View attachment 2300355
Daaaah hatare mnooo
 
Urusi ukishakufa wanakuona takataka. Hawataki kurudisha mizoga nchini mwao, sababu huko kwako wanaaminishwa hakuna Askari wa Urusi anayekufa.

Ni vizuri mizoga wairudishe ili watoto wazazi na mke wazike kuliko kuiacha kwenye Mapori ya Ukraine then wanadai hawajulikani walipo. Wanaona aibu.
Eti Lost in Action kumbe wamemuacha kwenye mashamba ya Ukraine
 
Tumepapata. Wanajeshi wa Urusi zaidi ya 2,000, wamezingirwa Vysokopillya Mkoani Kherson. Wanaomba Corridor warudi Urusi walipotoka. Natamani Wangezungukwa na Azov, tungekuwa tunaongea mengine. Wote wangekufa.

Sisi walituzingira Azovstal wakajitapa sana. Zamu yao🤣🤣🤣
Screenshot_20220722-231120.png
20220722_230938.jpg
 
Tumepapata. Wanajeshi wa Urusi zaidi ya 2,000, wamezingirwa Vaisokopiliya Mkoani Kherson. Wanaomba Corridor warudi Urusi walipotoka. Natamani Wangezungukwa na Azov, tungekuwa tunaongea mengine. Wote wangekufa.

Sisi walituzingira Azovstal wakajitapa sana. Zamu yao🤣🤣🤣
View attachment 2300487View attachment 2300488
Mkuu; Kwani utaratibu ukoje? Hao si ni Matekaa?
 
Ukraine wamegoma kuwapa Warusi green Corridor waretreat. Wamepewa masaa kujisalimisha wao na vifaa vyao au wote wauawe. Usiku huu hadi saa nne, Wanajeshi 59 wa Urusi wamejisalimisha. Asubuhi tunategemea wengine zaidi..
20220723_015108.jpg
20220723_015357.jpg

Walikaa wakisubiri Silaha na risasi kwa siku tatu, bila kujua HIMARS imeshalipua ghala. Hawana msosi. Hakuna wa kuingia wala kutoka 🤣🤣🤣

Azov muda wangeshawapa risasi za Kikatili
 
Ukraine wamegoma kuwapa Warusi green Corridor waretreat. Wamepewa masaa kujisalimisha wao na vifaa vyao au wote wauawe. Usiku huu hadi saa nne, Wanajeshi 59 wa Urusi wamejisalimisha. Asubuhi tunategemea wengine zaidi..
View attachment 2300563View attachment 2300564
Walikaa wakisubiri Silaha na risasi kwa siku tatu, bila kujua HIMARS imeshalipua ghala. Hawana msosi. Hakuna wa kuingia wala kutoka [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Azov muda wangeshawapa risasi za Kikatili
HIMARS zingewahishwa tangu hii vita inaanza nadhani mpaka Crimea ingekua isharudi Ukraine
 
Ukraine wamegoma kuwapa Warusi green Corridor waretreat. Wamepewa masaa kujisalimisha wao na vifaa vyao au wote wauawe. Usiku huu hadi saa nne, Wanajeshi 59 wa Urusi wamejisalimisha. Asubuhi tunategemea wengine zaidi..
View attachment 2300563View attachment 2300564
Walikaa wakisubiri Silaha na risasi kwa siku tatu, bila kujua HIMARS imeshalipua ghala. Hawana msosi. Hakuna wa kuingia wala kutoka 🤣🤣🤣

Azov muda wangeshawapa risasi za Kikatili
Safi sana wachukue mateka hao watasaidia badae kwenye kubadilishana. Peleka moto tu.
 
Back
Top Bottom