Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

... hawa jamaa inaelekea wanateketea vya kutosha huko battle field; ndege za jeshi hazitoshi kusafirisha maiti hadi treni tena behewa zimewekewa partitions ili kumaximize space! Since WWII hakuna vita iliyoteketeza wanajeshi wengi kwa muda mfupi kuzidi hii.
 
Yaani Dah! hadi maiti zingine imeshindikana zimekosa usafiri na zimeachwa (zimetelekezwa) kujiozea huko porini.Shame on u Putin.
 
Yaani Dah! hadi maiti zingine imeshindikana zimekosa usafiri na zimeachwa (zimetelekezwa) kujiozea huko porini.Shame on u Putin.
... jeshi la Russia ndio taasisi hatari zaidi duniani ya kufanyia kazi kwa sasa; hujui kesho fashisti ataamkaje au ataamua nini and he never cares whether they die or not! Ni salama zaidi kuwa mpiganaji wa Al Qaeda au Al Shabaab kuliko kuwa ndani ya Jeshi la Urusi chini ya fashisti.
 
Sio Azov. Azov huwa wakiwazunguka maadui hawasemi wajisalimishe, wanawaua. Wanatuma picha tu tumeua wavamizi baada ya kuwazingira na tumeteka nyara vifaa vyao. Imeisha
Kweli vijana hawa hawanaga ile kanuni ya kuchukua mateka. Wao ni kutoa Kisago tu.
 
Yaani Urusi wanavamia Nchi ndogo kisa inaizidi nguvu. Kwa in asimvamie Marekani au China. Ubabe hausaidii. Nasi tukikutana na Mrusi tunalala naye mbele. Warusi hawana aibu. Kwamba unaleta mambo ya Utumwa miaka hii? Sasa Warusi wanajuta. Ukiwauliza kwanini mumevamia nchi huru, hawana majibu.
View attachment 2301313
Yarabi hao vijana (kwa sasa ni marehemu) kwa kweli hawajui au hawana majibu. Ni Putin na Cabinet yake pekee wameyahifadhi majibu mifukoni mwao.
 
Hapa ni Ivanivka Mkoani kherson. Ukraine wameteka nyara Vifaru vingi vya Urusi. Kwa siku moja tu.
 
Wakati Urusi wakati wa Mapumziko wanalewa, Azov wakati wa Mapumziko wanacheza ngumi. Azov vijana wasio na kanuni wapo Vizuri
 
Angalia Warusi Wanavyoogopa Wanajeshi wa Ukraine 🤣🤣🤣🤣
 
Marekani haleti tena MGM-140 Army Tactical Missile System (ATACMS). Wanahofia Ukraine kuingia nazo Urusi then zikatekwa wakaibiwa technology. Marakani wanadai HIMARS bado zinafanya kazi vizuri.. Labda zikizidiwa ndo watafikiria. Jana Ukraine imeteketeza ghala la Silaha na Risasi lililo mita 200 ndani ya Urusi kutoka mpaka wa Ukraine.

Inaonekana Ukraine wana hasira na hawa Uvumilivu. Wanaingiza ndege Urusi pia. Mimi naona Ukraine wapo sahihi. Wakiona chanzo cha tatizo wanaharibu. Mfano sasa Makombora yanatokea Urusi. Wataachaje shambulia hayo Makombora yanapotoka?
 
Risasi za Kikatili za vijana wasio na kanuni Azov
 
Kwenye hii Vita, hakuna battalion yenye kila aina ya furaha na matani kama Azov. Azov wao maisha yao ni vita tangu 2014. So Wkend wao ni michezo tu huku wakichukua tahadhari. Usiombe uingie 18 zao. Wakiwa vitani ni Wanyama, mapumziko jokes. Nawapenda sana..
 
Back
Top Bottom