Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hiki Kifaru cha kubeba wanajeshi. Kilikuwa cha Urusi tukawanyang'anya na sasa chatumiwa na Ukraine
 
Ona hii. Tanzania tunayo?
 
Jamaa linakuja kwenye huu uzi linacheka weee hadi hisia zinamwishia. Hupaswi kumuuliza hilo swali Mkuu; ni wa kuhurumia.
Wana uzi wao kule wanatoa source kwenye account za twitter na telegram za warusi. Hakuna cha video wala picha kama huku.

Unaambiwa kule kwenye uzi wao HIMARS zimesharipuliwa ukiwaomba picha wanabaki kung'aa macho.
Kule naona watoto wengi sana pamoja na matusi mengi.
 
Rada ya gharam kubwa ya Urusi aina ya 48Ya6-K1 Podlet-K1 low-altitude S-band surveillance imelipuliwa kwa rocket na Majeshi ya Ukraine huko Nova Kakhovka, Mkoani Kherson. Imeteketea yote
20220720_031554.jpg
20220720_031603.png
 
Kifaru cha Urusi aina ya T-80BV kimesambaratishwa na Wanajeshu Wa Ukriane waliotumia Silaha ya Marekani aina ha FGM-148 Javelin.
 
Back
Top Bottom