Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Huko Donetsk, Ukraine walifanikiwa kuzuia mashambulio ya wavamizi wa kifashisti wa Urusi katika maeneo ya Verkhnokam'yans'ke, Sivers'k, Pokrovs'ke na kituo cha Vuhlehirs'ka.

Hakuna mashambulizi ya Urusi yalikuwa na mafanikio popote nchini Ukraine kwa jana.
 
HIMARS zingewahishwa tangu hii vita inaanza nadhani mpaka Crimea ingekua isharudi Ukraine
USA na allies hawakuamini Ukraine ataweza, wote waliamini Ukraine itafall in weeks.
UK ndo alikua wa kwanza kupeleka NLAW baada ya kuona msururu wa km za vifaru kuelekea Kyiv....

NLAW zilibadilisha upepo, hapo ndo Juvelin akafata, bwana mkubwa akakimbia Kyiv kwa miguu maana kila alichopeleka kilifia pale..

Baadae sasa ndo wakaanza training na silaha nzito nzito, na ndo hapo waona HIMARS na LRMS nyingi zinafuata.

Urusi kwa sasa kazidiwa alichobakiza ni kutumia Missile Defence systems kurusha makombora Kyiv na maeneo jirani.

Ukraine akiidaka Kherson maana yake Crimea pataanza waka moto kwani atakuwa kasogea zaidi
 
Bado nasubiri task ya kuvunja daraja la crimea mvamizi amalizwe nguvu kabisa. HIMARS are the game changers warusi hawaelewi hii.
Hapo itabidi Ukraine wafanye juhudi kwa kuwarudisha Urusi nyuma ili wakate supply lines za Crimea... Hapo ndo moto utawaka haswa...
Hii vita ikiendelea miezi 3 Urusi hatakuwa na uwezo wa kupigana na yeyote wa NATO maana kwa silaha anazopewa Ukraine itabidi ampge sana Ukraine vinginevyo atapigwa yeye
 
Ukisikia Risasi za Kikatili za vijana wasio na kanuni Azov ndo hizi. Tumeelewana? Walishakataa mambo ya kuteka Warusi. Wanakwambia waliapa Jeshini kuua adui
Your browser is not able to display this video.
 
Na Juvelin ziligaiwa kwa mamia kufanya kazi ya kusafisha tanks za warusi. Asee vita ni sayansi jamaa walienda kwa maonesho ya msururu wa vifaru hawakuamini vilivopukutika kwa kutumia silaha ndogo tu ya begani Juvelin.
 
Azov hawana mambo ya mateka. Inategemea wamezingirwa na Brigade gani. Wameishiwa Risasi na chakula. Wanavaa nguo za kiraia.. Ila hakuna mwanaume atachomoka. Hakuna ndege kukatiza wala nzi🤣🤣
Kha! EeEnhe. Malipo huwa ni hapahapa duniani. Walichokifanya kwa Waukraine pale Mariupol sasa ni zamu yao. Wameomba Ushoroba(Corridor) lakini kama ni kwa AZOV cjui kama watakubaliwa. Nawasikitikia sana. Du! Pole yao.
 
Yaani Urusi wanavamia Nchi ndogo kisa inaizidi nguvu. Kwa in asimvamie Marekani au China. Ubabe hausaidii. Nasi tukikutana na Mrusi tunalala naye mbele. Warusi hawana aibu. Kwamba unaleta mambo ya Utumwa miaka hii? Sasa Warusi wanajuta. Ukiwauliza kwanini mumevamia nchi huru, hawana majibu.
 
Kha! EeEnhe. Malipo huwa ni hapahapa duniani. Walichokifanya kwa Waukraine pale Mariupol sasa ni zamu yao. Wameomba Ushoroba(Corridor) lakini kama ni kwa AZOV cjui kama watakubaliwa. Nawasikitikia sana. Du! Pole yao.
Sio Azov. Azov huwa wakiwazunguka maadui hawasemi wajisalimishe, wanawaua. Wanatuma picha tu tumeua wavamizi baada ya kuwazingira na tumeteka nyara vifaa vyao. Imeisha
 
Sio Azov. Azov huwa wakiwazunguka maadui hawasemi wajisalimishe, wanawaua. Wanatuma picha tu tumeua wavamizi baada ya kuwazingira na tumeteka nyara vifaa vyao. Imeisha
Mkuu vp? sijawasikia tena LEGION. Updates plz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…