... hawa jamaa inaelekea wanateketea vya kutosha huko battle field; ndege za jeshi hazitoshi kusafirisha maiti hadi treni tena behewa zimewekewa partitions ili kumaximize space! Since WWII hakuna vita iliyoteketeza wanajeshi wengi kwa muda mfupi kuzidi hii.Mizoga ya Wanajeshi wa Urusi ikiwasili nyumbani kwao Urusi kwa treni
View attachment 2301315View attachment 2301316View attachment 2301317View attachment 2301318View attachment 2301319View attachment 2301320
Hahahaaa: Walikwenda Ukraine kwa Vifaru, Magari ya Deraya (Armoured personnel Carriers), Malori n.k. lakini wanarudi kwa Treni maskini .......... Putin amewatoa kafara.Mizoga ya Wanajeshi wa Urusi ikiwasili nyumbani kwao Urusi kwa treni
View attachment 2301315View attachment 2301316View attachment 2301317View attachment 2301318View attachment 2301319View attachment 2301320
Yaani Dah! hadi maiti zingine imeshindikana zimekosa usafiri na zimeachwa (zimetelekezwa) kujiozea huko porini.Shame on u Putin.... hawa jamaa inaelekea wanateketea vya kutosha huko battle field; ndege za jeshi hazitoshi kusafirisha maiti hadi treni tena behewa zimewekewa partitions ili kumaximize space! Since WWII hakuna vita iliyoteketeza wanajeshi wengi kwa muda mfupi kuzidi hii.
... jeshi la Russia ndio taasisi hatari zaidi duniani ya kufanyia kazi kwa sasa; hujui kesho fashisti ataamkaje au ataamua nini and he never cares whether they die or not! Ni salama zaidi kuwa mpiganaji wa Al Qaeda au Al Shabaab kuliko kuwa ndani ya Jeshi la Urusi chini ya fashisti.Yaani Dah! hadi maiti zingine imeshindikana zimekosa usafiri na zimeachwa (zimetelekezwa) kujiozea huko porini.Shame on u Putin.
Kweli vijana hawa hawanaga ile kanuni ya kuchukua mateka. Wao ni kutoa Kisago tu.Sio Azov. Azov huwa wakiwazunguka maadui hawasemi wajisalimishe, wanawaua. Wanatuma picha tu tumeua wavamizi baada ya kuwazingira na tumeteka nyara vifaa vyao. Imeisha
Yarabi hao vijana (kwa sasa ni marehemu) kwa kweli hawajui au hawana majibu. Ni Putin na Cabinet yake pekee wameyahifadhi majibu mifukoni mwao.Yaani Urusi wanavamia Nchi ndogo kisa inaizidi nguvu. Kwa in asimvamie Marekani au China. Ubabe hausaidii. Nasi tukikutana na Mrusi tunalala naye mbele. Warusi hawana aibu. Kwamba unaleta mambo ya Utumwa miaka hii? Sasa Warusi wanajuta. Ukiwauliza kwanini mumevamia nchi huru, hawana majibu.
View attachment 2301313
Hapo Lufufu anakwambia likaamua kukotoza na mbaligambaliga. Mbaliga kugobya. AhahahaAngalia Warusi Wanavyoogopa Wanajeshi wa Ukraine [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2301945
NawakubaliKwenye hii Vita, hakuna battalion yenye kila aina ya furaha na matani kama Azov. Azov wao maisha yao ni vita tangu 2014. So Wkend wao ni michezo tu huku wakichukua tahadhari. Usiombe uingie 18 zao. Wakiwa vitani ni Wanyama, mapumziko jokes. Nawapenda sana..
View attachment 2302104