Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Una kiherehere sana, tumeanzisha uzi unaotuhusu sisi unatufata fata.
Anzisheni wenu mjifariji
 
Una kiherehere sana, tumeanzisha uzi unaotuhusu sisi unatufata fata.
Anzisheni wenu mjifariji
Ha ha haaaa! Lini mmepewa hati miliki ya uzi huu. ??? Poleni, Sasa naanza kuelewa kwa nini mnapenda kuangalia video na picha zinazokiuka maadili ya utu.
Hata hivyo, mimi niposana kwenye uzi huu. Mpaka hapo itakapotangazwa vinginevyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…