Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Brother, tangu siku ya kwanza sikosi kutembelea uzi wako. Endelea kuleta vituz. Sema nini, nafurahishwa sana na zile video za warusi wakiteseka wanapoona drone za Ukraine. Hizo video uwe unaleta kila siku mzee, zinaondoa stress
🀣🀣🀣🀣
Your browser is not able to display this video.
 
Wanapata taabu sana hawa ndugu. Kakoswa kitu kizito kwenye makalioπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wote wanakufa hata wangekuwa kumi. Hii sio hadi ikudondokee ndo uumie.. Hili ni pomu, likipasuka vile vipande vilivyopasuka ndo Vinaua. Hadi ukiwa mita 10 unakufa. Kukwepa ulale chini. Hivyo vioande vimechongoka, watu wanakatika miguu na Mikono
Your browser is not able to display this video.
 
Wote wanakufa hata wangekuwa kumi. Hii sio hadi ikudondokee ndo uumie.. Hili ni pomu, likipasuka vile vipande vilivyopasuka ndo Vinaua. Hadi ukiwa mita 10 unakufa. Kukwepa ulale chini. Hivyo vioande vimechongoka, watu wanakatika miguu na Mikono
Niliona clip moja yupo jamaa hana kichwa.
 
Wote wanakufa hata wangekuwa kumi. Hii sio hadi ikudondokee ndo uumie.. Hili ni pomu, likipasuka vile vipande vilivyopasuka ndo Vinaua. Hadi ukiwa mita 10 unakufa. Kukwepa ulale chini. Hivyo vioande vimechongoka, watu wanakatika miguu na Mikono
Nimeona jamaa hajaanguka katimua mbio ina maana vipande havikumpata. Mwingine naye kajibanza kwenye gema
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ana maana Maiti ya jamaa πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
... kanistua sana ujue; hana kichwa hawezi tena kuwa jamaa. Asante kwa ufafanuzi.
 
Mpaka iishe hii vita watarudi kwao wana kende moja moja.πŸ˜‚πŸ˜‚
Hahahahahaaaa. Kwa yule atakayebahatika kwani wengi wanarudi ni mizoga na baadhi ya maiti wanatelekezwa maporini wajiozee kwa wakati wao - inarudi hewa(Null corpses)
... pamoja Kiongozi. We are against a common enemy!
That's the main point.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…