Hebu itafute full maana ni clip tamu sana. πππSi kweli. Nikibahatika kupata full ntaweka. Unaweza pigwa risasi ukatembea hata mita 200 ndo ukaishia nguvu. Camera ilichukua ukubwa mdogo.
Man, figganigga una roho mgumu balaa. Yaani kicjapo chote anachopokea ukraine bado tu hujakata tamaa. Una roho ngumu kama zele.
... Seeing is believing. Tupia picha au clips tuone kichapo Mkuu.Man, figganigga una roho mgumu balaa. Yaani kicjapo chote anachopokea ukraine bado tu hujakata tamaa. Una roho ngumu kama zele.
Aisee, yule mrusi wa upande wa kulia ule ukimbiaji alivokimbia ilibidi nicheke sana kwani kama yeye anakiogopa kifo hivyo ni kwa nini anaenda kuua wenzake wasio na hatia?Hebu itafute full maana ni clip tamu sana. πππ
Hawana picha wana porojo tupu za telegram.Lete na wewe clips za ushahidi tulinganishe
Hana lolote achana naye.... .Eti waliposti clip kuonesha askari wa Ukraine waliji-camouflage kwa kuvaa nguo za kiraia. Hicho ndo anakiita kichapo.... Seeing is believing. Tupia picha au clips tuone kichapo Mkuu.
Unataka aposti porojo au uongo? Hizo picha na clips unadhani kazichora yeye? Hebu na wewe chora zako tuzione.Man, figganigga una roho mgumu balaa. Yaani kicjapo chote anachopokea ukraine bado tu hujakata tamaa. Una roho ngumu kama zele.
Alivyo ruka kwa nguvu lazima atakuwa kajamba kabisa πππAisee, yule mrusi wa upande wa kulia ule ukimbiaji alivokimbia ilibidi nicheke sana kwani kama yeye anakiogopa kifo hivyo ni kwa nini anaenda kuua wenzake wasio na hatia?
Hamna cha picha wala cideo. Ukraine wanapata kipigo na ardhi inachukuliwa. Hizo video na picha mnazoleta hapa kuonyesha waRussia wanauliwa na vifaa vyao kuharibiwa ni kweli na ni kawaida kwenye vita. Ila ukraine wana hali mbaya sana.... Seeing is believing. Tupia picha au clips tuone kichapo Mkuu.
πππjamaa kapanic kweli, kifaru kimegeuka kuwa boda boda. Maisha matamu sana, alivyohangaika kujiokoa lakini kaishia kuwa majivu.
UthibitishoHamna cha picha wala cideo. Ukraine wanapata kipigo na ardhi inachukuliwa. Hizo video na picha mnazoleta hapa kuonyesha waRussia wanauliwa na vifaa vyao kuharibiwa ni kweli na ni kawaida kwenye vita. Ila ukraine wana hali mbaya sana.
HeHeHeeeeeeeeee - mbavu zangu.......Alivyo ruka kwa nguvu lazima atakuwa kajamba kabisa πππ
... wewe ni katika pro Russia waungwana sana; picha zinazoletwa kwenye huu uzi ni real! Ni kweli inawezekana Ukraine wanapigwa ila kulinganisha na the monster Russia kwa neema ya Mungu Ukraine wanajibu. Tushirikiane sote kuwaonbea Mungu awape ushindi dhidi ya wavamizi.Hamna cha picha wala cideo. Ukraine wanapata kipigo na ardhi inachukuliwa. Hizo video na picha mnazoleta hapa kuonyesha waRussia wanauliwa na vifaa vyao kuharibiwa ni kweli na ni kawaida kwenye vita. Ila ukraine wana hali mbaya sana.