Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

T-72A kifaru cha Urusi kilitekwa
 
Kifaru BM-21 cha Urusi
 
Kifaru aina ya BMP-2 cha Urusi
20220330_112022.jpg
20220330_112018.jpg
20220330_112015.jpg
 
Tarehe 30 Machi 2022 Urusi wanarudisha Mpira kwa kipa.

Wavamizi wa Ukraine wameamua kivikimbizia Vifaru vyao nchi jirani ya Belarus ili Wajipange upya. Hii ni baada ya kuona wanapoteza sana uwanja wa Vita
 
Kikosi cha kwanza cha Urusi "airborne troops" (ambacho yule Kamanda wao alikufa) Wanaikimbia Kiyiv Kasikazini. Wanaelekea Belarus. Wameonekana Wakipakia vifaa vyao kwenye Treni stesheni ya Rechits. Je, Wanarudi kwao walikotoka au wanaenda kujipanga Upya Nchini Belarus
 
Urusi baada ya kuona wanajeshi wake wanakufa sana. Sasa kakodi Vikundi vya kijeshi kutoka Africa na Syria ili wakapambane Ukraine. Ameona anapoteza Nguvu kazi. Bora wakafe waafrika huko. Yeye anawapa vifaa ambavyo hawawezi kutumia. Ndo maana tangu tarehe 27 Machi 2022 Urusi imezidiwa sana na Askari wengi wamekufa na kupoteza zana za kivita hadi wameamua kukimbilia Belarus wakapumue kidogo na kujipanga upya.
Screenshot_20220330-144101.png
 
mercenary(Askari wa kukodiwa) kutoka Afrika wanaosaidia Jeshi la Urusi wanaendelea kukamatwa na kuuawa huko Ukraine. Hawa madogo kutoka DR Congo walikuwa wanaisaidi Urusi. Leo wamekatwa pumzi
20220330_145150.jpg
20220330_145154.jpg
 
Leo tarehe 30 Machi, vifaa vya Kijeshi vya Urusi aina mbalimbali vimeteketezwa wakati wanavirudisha Belarus.
20220330_152308.jpg
20220330_153009.jpg
20220330_153011.jpg
20220330_153014.jpg
20220330_153017.jpg
20220330_153031.jpg
20220330_153034.jpg
20220330_153036.jpg
20220330_153039.jpg
 
Urusi wameshindwa kuukamata mji wa kharkiv. Wameshikwa hasira na gadhabu, sasa Wanachofanya ni kuharibu miundombinu na Majengo ili kuwatia Wananchi hasara
20220330_153904.jpg
20220330_153908.jpg
20220330_153914.jpg
20220330_153917.jpg
 
Ukraine wao wanapambana kuangamiza silaha za Urusi.
 
Kifaru cha Urusi aina ya T-72B3M (Obr 2016) jana na leo 30 Machi 2022 Urusi wanalia machozi ya damu. Wameamua kukimbilia Belarus
20220330_154602.jpg
20220330_154604.jpg
 
Nilikuwa nafuatilia Ndege za Urusi zilizoangushwa, ni nyingi sana.. Nitamaliza wiki napost ndege. Naweka za mfano then tuendelee na mengine. Tujua why Urusi wanakimbilia Belarus.
Screenshot_20220330-155649.png
Screenshot_20220330-155759.png
Screenshot_20220330-155819.png
Screenshot_20220330-155841.png
Screenshot_20220330-155937.png
 
Sniper Maarufu kutoka Canada WALI anayekipiga Ukraine, ameonaka akiwa na Bundiki aina ya Sako TRG-42, inaonekana ni kutoka Finland
20220330_164002.jpg
20220330_163935.jpg
20220330_163732.jpg
 
Baada ya kuwaangamiza Warusi
 
Urusi wamepoteza Mkoani Kharkiv. 30 Machi 2022 Ukraine wamefanikiwa kuteketeza Vifaru vya Urusi aina ya T-72B na 3x MT-LB variants.
20220330_203353.jpg
20220330_203351.jpg
20220330_203348.jpg
20220330_203346.jpg
 
Back
Top Bottom