Kumbe bado tuna safari ndefuBaada ya Kherson, Mkoa mwingine unaokuja kukombolewa mikoni mwa Wakoloni Wavamizi Urusi ni Donetsk,
Jana Donetsk, Warusi wamekiziswa katika miji ya Spirne, Svyati Hory National Park, Berestove na Semyhir'ya. Wavamizi Urusi wameretreat.
Leo Wavamizi wamezamia tena Pokrovs'ke. Tusubiri hadi jioni tuone itakuaje. Mambo ya Ukoloni wa kutumia mabavu ushapitwa na wakati.
View attachment 2304415
Hapo kwenye Mstari mwekundu ndipo Frontline ya Ukraine ilipo.
Siku hawa jamaa wakipewa ATACMS, HIMARS itamchakaza vibaya sana Mrusi.
Mbona picha zako nyingi zinaniandikia view attachment mkuu kama upo telegram niunge na link
Inaelekea wewe ni Pro Russia ndo maana hazifunguki. Jifanye kuwa Pro Ukraine uone kama hazitafunguka 😂😂😂🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️Mbona picha zako nyingi zinaniandikia view attachment mkuu kama upo telegram niunge na link
View attachment hizo ni video pitia kwenye browser kama Chrome au phoenix utaona tu.Mbona picha zako nyingi zinaniandikia view attachment mkuu kama upo telegram niunge na link
Atakuwa anatumia app ya play store. A download app kutoka kwenye website ya jamii forum ataona kila kitu😀Inaelekea wewe ni Pro Russia ndo maana hazifunguki. Jifanye kuwa Pro Ukraine uone kama hazitafunguka 😂😂😂🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Yeah.Kama kuku adonoavyo kumbikumbi - haachi hata moja.Hizi drone zinawadonoa kama kuku 😂😂
So Radar systems zitabaki kuwa ni white elephant sio?Hzi ndo anti-radar missiles zitakazoanza kufanya kazi hivi karibuni. Zinazuia rada ya adui kufanya kazi. Yaani zinapofusha rada ya adui haioni kitu hivyo inalipuliwa. Hajawepo awali nchini Ukraine
View attachment 2303959
Hahahaaa!! Inatoka nchi gani?Hzi ndo anti-radar missiles zitakazoanza kufanya kazi hivi karibuni. Zinazuia rada ya adui kufanya kazi. Yaani zinapofusha rada ya adui haioni kitu hivyo inalipuliwa. Hajawepo awali nchini Ukraine
View attachment 2303959
kumbe tuko wengi ambao atuoni hizo video za view atachimentMsaada wa kufungua video kupitia view attachment,
Mnafunguaje na kuona hizi video wajuba?