Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Baada ya Kherson, Mkoa mwingine unaokuja kukombolewa mikoni mwa Wakoloni Wavamizi Urusi ni Donetsk,
Jana Donetsk, Warusi wamekiziswa katika miji ya Spirne, Svyati Hory National Park, Berestove na Semyhir'ya. Wavamizi Urusi wameretreat.

Leo Wavamizi wamezamia tena Pokrovs'ke. Tusubiri hadi jioni tuone itakuaje. Mambo ya Ukoloni wa kutumia mabavu ushapitwa na wakati.
View attachment 2304415
Hapo kwenye Mstari mwekundu ndipo Frontline ya Ukraine ilipo.
Kumbe bado tuna safari ndefu
 
Inaelekea wewe ni Pro Russia ndo maana hazifunguki. Jifanye kuwa Pro Ukraine uone kama hazitafunguka 😂😂😂🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
Atakuwa anatumia app ya play store. A download app kutoka kwenye website ya jamii forum ataona kila kitu😀
 
Bro; Ukraine's war, is it Offensive or defensive? against who on what?
 
Mmh! Unatumia browser gani? Video zote naweka kwa mfumo wa mp4. Sijajua tatizo. Wa kwanza kulalamika. Sina group lolote. Group langu JF
 
Mh. Huko ndo kutoka nduki. Lakini kha! thubutu...cjui kama wamesalimika.
 
Mh. Huko ndo kutoka nduki. Lakini kha! thubutu...cjui kama wamesalimika.
 
IMG_20220726_214223_559.jpg
 
Back
Top Bottom