HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Kumbe bado tuna safari ndefuBaada ya Kherson, Mkoa mwingine unaokuja kukombolewa mikoni mwa Wakoloni Wavamizi Urusi ni Donetsk,
Jana Donetsk, Warusi wamekiziswa katika miji ya Spirne, Svyati Hory National Park, Berestove na Semyhir'ya. Wavamizi Urusi wameretreat.
Leo Wavamizi wamezamia tena Pokrovs'ke. Tusubiri hadi jioni tuone itakuaje. Mambo ya Ukoloni wa kutumia mabavu ushapitwa na wakati.
View attachment 2304415
Hapo kwenye Mstari mwekundu ndipo Frontline ya Ukraine ilipo.