Kikosi cha kwanza cha Urusi "airborne troops" (ambacho yule Kamanda wao alikufa) Wanaikimbia Kiyiv Kasikazini. Wanaelekea Belarus. Wameonekana Wakipakia vifaa vyao kwenye Treni stesheni ya Rechits. Je, Wanarudi kwao walikotoka au wanaenda kujipanga Upya Nchini Belarus
Urusi baada ya kuona wanajeshi wake wanakufa sana. Sasa kakodi Vikundi vya kijeshi kutoka Africa na Syria ili wakapambane Ukraine. Ameona anapoteza Nguvu kazi. Bora wakafe waafrika huko. Yeye anawapa vifaa ambavyo hawawezi kutumia. Ndo maana tangu tarehe 27 Machi 2022 Urusi imezidiwa sana na Askari wengi wamekufa na kupoteza zana za kivita hadi wameamua kukimbilia Belarus wakapumue kidogo na kujipanga upya.
mercenary(Askari wa kukodiwa) kutoka Afrika wanaosaidia Jeshi la Urusi wanaendelea kukamatwa na kuuawa huko Ukraine. Hawa madogo kutoka DR Congo walikuwa wanaisaidi Urusi. Leo wamekatwa pumzi
Urusi wameshindwa kuukamata mji wa kharkiv. Wameshikwa hasira na gadhabu, sasa Wanachofanya ni kuharibu miundombinu na Majengo ili kuwatia Wananchi hasara
Nilikuwa nafuatilia Ndege za Urusi zilizoangushwa, ni nyingi sana.. Nitamaliza wiki napost ndege. Naweka za mfano then tuendelee na mengine. Tujua why Urusi wanakimbilia Belarus.