Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Mwezi ulopita, Urusi walifanikiwa kukamata Ukraine kwa 30% wamefukuzwa kinyama, sasa wanashikilia 20 ya Ukraine. Mwezi ujua wanaweza bakiwa na 5%. Lengo la Urisi ni kuiteka Ukraine 100%. Wameshindwa fika malengo yako kwa miezi 3. Ukitaka kujua Warusi hawajielewi, February walisema wanaiteka Ukraine ndani ya siku tatu. Na baada ya siku 15 wanabadilisha Uongozi kwani walidai ni Operation maalum. Sasa wanajuta. Wamebaki uchi kwani dunia ilijua Urusi ina nguvu kumbe ni Mandonga tu
View attachment 2313489
Urusi si wa kubezwa nguvu wanayo kubwa, sema wamekutana na wababe wenzao.
 
Leo napost Mapambano yaliyorekodiwa live Frontline. Kujeruhiwa ukiwa Frontline kawaida tu. Just kufumba na kufumbua.

Hawa ni Wanajeshi wa 92 OMBR au Ivan Sirko 92 Mechanized Brigade wakipambana na Wanajeshi wa Urusi. Mwanajeshi wetu mmoja alijeruhiwa kwa risasi mkononi.

SEHEMU YA KWANZA
View attachment 2313603
Safi mnooo
 
🤣🤣🤣
IMG_20220804_090715_376.jpg
 
Huyu mwanajeshi wa Urusi alivyoambiwa haya simama uondoke, akajua Azov amemsamehe. Azov wanasema wameapa kuua adui sio kusamehe. 🤣🤣
 
Back
Top Bottom