figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #4,661
Nchini Ukraine, hivi sasa vita inapigwa kweye hili eneo tu. Kunakaribia kukucha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si walisema wameharibu zote?Jeshi la anga la Ukraine bado linafanya kazi kama kawaida. Urusi walijaribu kuharibu mifumo ya anga, ila sasa kila kitu kipo poa. Hizi picha zimetumwa na kikosi cha anga cha Ukraine cha 831st Tactical Aviation Brigade kikiwa airbase ya Myrhorod Mkoani Poltava
Ndege za Ukraine zinazoonekana hapa ni Su-27/S1M na MiG-29/MU1 fighter aircraft zikiwa na Makombora ya R-27R na R-73 AAMs. Hii R-73 wenyewe ndo wanaita short-range air-to-air missile
View attachment 2313472View attachment 2313473View attachment 2313474View attachment 2313475
Hukumuelewa. Anton Gerashchenko, anawasanifu Urusi wanaodai kuikomboa Mariupol wakati mji wameufanya kuwa magofu hata wenyewe hawaishi. Urusi kufanya uharibifu wanadai ndo kuikomboa sehemu. Hamna maji, nyumba, mitambo wala barabara iliyosalia.. Halafu wanafurahia hivyo vitendo kwamba ndo kukomboa. Hakuna hata mtu barabaraniNimeiona huko Twitter.. nasubiri taarifa zaidi.View attachment 2312466