Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Nchini Ukraine, hivi sasa vita inapigwa kweye hili eneo tu. Kunakaribia kukucha.
20220804_062934.jpg
 
Kiongozi wa Wagner Kwaheri ya kuona.. Mlijua Ukraine ni shamba la bibi, sasa mnageuzwa mbolea ya kustawisha Alizeti.

Huyu mercenary Urusi walimleta kutoka Syria Wakampa Ukamanda wa Battalion. Huyu ndo alikuwa Boss wa Spetsnaz Battalion anaitwa Sergei Kononov. mercenary ni wanajeshi wa kukodiwa, wanalipwa kwa Masaa, huna hela anaenda kwa adui anawasaidia as long ana hela.
20220804_063232.png
 
Urusi wana roho mbaya. Huyu mwenzao alienda kupigana Vita akakatika miguu yake yote miwili. Jamaa kagoma kumpandisha kwenye basi. Anadai alienda kupigana vita kwa ujinga wake na manufaa ya Familia yake. Je, Warusi hawapendani? Dereva anasema matatizo ya kukatwa miguu kwenye vita ya putin hayamhusu
 
Urusi wameshindwa kubomoa ngome ya Ulinzi wa Ukraine, sasa anachofanya ni kulenga Majengo ya raia na miundo mbinu. Mpo zenu mnacheza draft mnasikia kitu kimetua. Kwanini wasipambane na Wanajeshi wenzao? Wanaboa Mashule, majimba ya Makumbusho, Hospitali nk. Wanashindwa Vamia kambi za jeshi sababu zina Ulinzi
 
Jeshi la anga la Ukraine bado linafanya kazi kama kawaida. Urusi walijaribu kuharibu mifumo ya anga, ila sasa kila kitu kipo poa. Hizi picha zimetumwa na kikosi cha anga cha Ukraine cha 831st Tactical Aviation Brigade kikiwa airbase ya Myrhorod Mkoani Poltava

Ndege za Ukraine zinazoonekana hapa ni Su-27/S1M na MiG-29/MU1 fighter aircraft zikiwa na Makombora ya R-27R na R-73 AAMs. Hii R-73 wenyewe ndo wanaita short-range air-to-air missile
View attachment 2313472View attachment 2313473View attachment 2313474View attachment 2313475
Si walisema wameharibu zote?
 
Nimeiona huko Twitter.. nasubiri taarifa zaidi.View attachment 2312466
Hukumuelewa. Anton Gerashchenko, anawasanifu Urusi wanaodai kuikomboa Mariupol wakati mji wameufanya kuwa magofu hata wenyewe hawaishi. Urusi kufanya uharibifu wanadai ndo kuikomboa sehemu. Hamna maji, nyumba, mitambo wala barabara iliyosalia.. Halafu wanafurahia hivyo vitendo kwamba ndo kukomboa. Hakuna hata mtu barabarani
 
Hapa ni Maryanka jirani na Donetsk, hii Video imechukuliwa na Drone. Huo moshi unaonekana ni Vifaru vya Urusi vimelipuliwa. Vingi sana hadi Wameretreat. Wasiojua Maryanka ilipo, waangalia kwenye ramani ya post kabla ya hii.
 
Leo napost Mapambano yaliyorekodiwa live Frontline. Kujeruhiwa ukiwa Frontline kawaida tu. Just kufumba na kufumbua.

Hawa ni Wanajeshi wa 92 OMBR au Ivan Sirko 92 Mechanized Brigade wakipambana na Wanajeshi wa Urusi. Mwanajeshi wetu mmoja alijeruhiwa kwa risasi mkononi.

SEHEMU YA KWANZA
 
Back
Top Bottom