Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Warusi wamejifanya kuvamia Nevel's'ke. Wamefurushwa, sasa wanajikusanya tena Donetsk.
20220806_175019.jpg
 
Mitsubishi L200. Tayari kwenda Frontline. Kazi ya haya magari ni kufanya mashambulizi ya kushitukiza. Yanakimbia sana. Yatoka London hadi Kyiv kwa masaa 45 tu. Moro hadi dar Dakika 0 tu. Pia yanasaidia Wanajeshi wetu kuretreat kwa haraka wanapozidiwa
 
Frontline na Helkopta. Zinasaidia wapambanaji kusonga mbele kwa haraka zaidi

Hii Helicopter ni ya Ukraine aina ya Mi-24V na Mi-17 zikiwa Frontline. Hizi helmets ni za Marekani aina ya HGU-56. Zinauzwa kwa dola 1728 kila moja.
 
Back
Top Bottom