Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Warusi mikononi mwa Azov, ndipo wqnapojua Mungu yupo. Hapo wanatubu dhambi zao sababu kiama chao kimefika🤣🤣🤣 ila Azov jamani
IMG_20220807_044953_316.jpg
 
Warusi mikononi mwa Azov, ndipo wqnapojua Mungu yupo. Hapo wanatubu dhambi zao sababu kiama chao kimefika🤣🤣🤣 ila Azov jamani
View attachment 2316634
Oh My God! tumaini la kuishi (uhai)halipo tena na ukomo wa maisha umetimia - Salio limeisha. Kwa wengine ni siri kubwa sana ambayo ni Mungu pekee ndo anayeifahamu siku hiyo lakini kwa hawa jamaa wametunukiwa bahati ya kuifahamu ck hiyo walau inapokuwa zimebaki dakika chache tu kabla hawajapandishwa cheo na kuitwa MAREHEMU........
 
Hatimaye Ukraine imemuachilia Chmonya kwa kubadilishana Wafungwa na Urusi🤣🤣🤣. Mitandaoni alikuwa maarufu sana kwa muonekano wake. Kwamba ndo Uhalisia wa Warusi
View attachment 2316637
Nadhani hajaamini kinachoendelea - ni kama ndoto vile. Hapo atajua kwamba Ukraine wana moyo wa huruma na ubinadamu Tofauti na Warusi ambao wanaua raia Waukraine haphazardly.
 
Oh My God! tumaini la kuishi (uhai)halipo tena na ukomo wa maisha umetimia - Salio limeisha. Kwa wengine ni siri kubwa sana ambayo ni Mungu pekee ndo anayeifahamu siku hiyo lakini kwa hawa jamaa wametunukiwa bahati ya kuifahamu ck hiyo walau inapokuwa zimebaki dakika chache tu kabla hawajapandishwa cheo na kuitwa MAREHEMU........
😂😂😂 wanapandishwa vyeo siyo.
 
Back
Top Bottom