Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Wanaiona kiama yao imewadia mapema mno.
Ukiwavua suruali zao za combat unaweza kukuta kilo nzima ya uharo
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Ukiwavua suruali zao za combat unaweza kukuta kilo nzima ya uharo
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
Hahahahaaaaa. Mjomba wataharishaje wakati nasikia msosi umekata ndo maana wanaiba mpaka mboga ?
 
Meli nyingine 4 za Ukraine, Zimeondoka Odessa zikiwa zimebeba mazao ya Kilimo. Hili ndo lilikuwa dhumuni la kuhakikisha tunakomboa Kisiwa cha Snake ili tuwe huru na bandari yetu. Odessa ndo sehemu yenye Silaha nyingi za kuzuia Makombola. Japo ipo Mikani, Makombora mengi ya urusi yanaishia baharini japo kuna yanayofanikiwa kufika kwenye makazi ya watu
 
Kuna Habari kuwa HIMMARS imefyeka warusi 100 kwenye shambulio huko Melitopol
Screenshot_20220808-121409.jpg
 
Back
Top Bottom