OSEFUKANY
JF-Expert Member
- Jan 16, 2011
- 2,437
- 3,896
Wanaiona kiama yao imewadia mapema mno.Sijui wanasali au wanatafakari πππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaiona kiama yao imewadia mapema mno.Sijui wanasali au wanatafakari πππ
Ukiwavua suruali zao za combat unaweza kukuta kilo nzima ya uharoWanaiona kiama yao imewadia mapema mno.
Hahahahaaaaa. Mjomba wataharishaje wakati nasikia msosi umekata ndo maana wanaiba mpaka mboga ?Ukiwavua suruali zao za combat unaweza kukuta kilo nzima ya uharo
πππππββοΈπββοΈπββοΈ
ππππππHahahahaaaaa. Mjomba wataharishaje wakati nasikia msosi umekata ndo maana wanaiba mpaka mboga ?
Battle ya kherson ni ngumu sana wakifanikiwa kukata supply itakuwa rahisi.Safi ila wakate msafara wa kuongeza siraha ukraine
Tuwaombee kwa Mungu awafanyie wepesi na utekelezaji wenye mafanikio katika suala hili - Aamen.Battle ya kherson ni ngumu sana wakifanikiwa kukata supply itakuwa rahisi.
Ndio.Safi sana mkuu, Hadi Adabu iwakae vichwani hao ngurumbili.