Hebu nitoe tongotongo mkuu.Hivi ndivyo Urusi wanapoteza hadi sasa
View attachment 2317899
😂😂😂😂 alikuwa anataka kutoa pesa zake na simu ili wasizichuke wanaume wa kazi. Sasa sijui kazikosa 🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️Duh! Jamani, mbona Mrusi ananyanyasika mno na hizi drone?😂😂
Sasa mfukoni anapapasa kasahau nini? smartphone au kisu na uma.
Mkuu; nilivyoelewa mm Hizo ni Takwimu za vifaa vya Urusi vilivyoharibiwa na askari wa Urusi waliouawa tangu vita ianze hadi kufikia tar.08/08/2022.Hebu nitoe tongotongo mkuu.
1. Hivi ni vifaa vilivyoharibiwa na askari waliouwawa au
2. ni vifaa walivyo navyo eneo la vita na askari au
3. Ndo current military capacity ya mrusi aliyonayo mpaka sasa
😀😀 hilo ni wenge la drone. Shikamoo Drone.😂😂😂😂 alikuwa anataka kutoa pesa zake na simu ili wasizichuke wanaume wa kazi. Sasa sijui kazikosa 🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️
HIMARS ingekuwa inaruhusiwa kuwa nayo mtu binafsi ningeenda kukopa benki nikainunue aise niende nayo Ikungulyabashashi. 😂😂😂 iwe ukumbusho. Na kila siku ningekuwa naifuta vumbi. Maana inanipa raha sana nikiona inatema vitu.
Katika picha ya Tatu kutoka juu au last but one mbona suruale(Combat) ya anayechinjwa imechanika au waliichana hapo na sehemu ya mwili inaonekana??Hapa Urusi wakiwa wanawachinja Wanajeshi wa Ukraine kama Mbuzi. Halafu azov wakipasua watu Vichwa eti wanawalaumu. Tusilaumiane. Hii video sitaweka, naweka picha.. Hata wahusika tushawajua.. Kazi yao kuchinja kwa kisu binadamu wenzao. Azov hawawezi kubali, bora waitwe Magaidi tu
View attachment 2317912View attachment 2317913View attachment 2317914View attachment 2317915
Mbona nimeweka caption. Ndivyo vifaa, Wanajeshi na mifumo ambayo Urusi wamepotezaHebu nitoe tongotongo mkuu.
1. Hivi ni vifaa vilivyoharibiwa na askari waliouwawa au
2. ni vifaa walivyo navyo eneo la vita na askari au
3. Ndo current military capacity ya mrusi aliyonayo mpaka sasa
Mbona Picha nimepost hapo juu. Kabla ya kumchinja walimakata sehemu za siriKatika picha ya Tatu kutoka juu au last but one mbona suruale(Combat) ya anayechinjwa imechanika au waliichana hapo na sehemu ya mwili inaonekana??
Ni aibu na ni Laana kubwa kwa hao wachinjaji. Malipo ni hapahapa duniani. Ww subiri tu.
Kama dhana yangu ni sahihi, HAKIKA hawatauona mwisho wa vita hii i.e. Hawatoboi kamwe.
🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️HIMARS ingekuwa inaruhusiwa kuwa nayo mtu binafsi ningeenda kukopa benki nikainunue aise niende nayo Ikungulyabashashi. 😂😂😂 iwe ukumbusho. Na kila siku ningekuwa naifuta vumbi. Maana inanipa raha sana nikiona inatema vitu.
Dah! Basi yote kwa yote, dhana yangu ilikuwa ni kwamba waliml***ti na walipomaliza ndipo wakamchinja.Mbona Picha nimepost hapo juu. Kabla ya kumchinja walimakata sehemu za siri
Naiona Russian Federation ikibubujikwa na machozi na uso wa simanzi kuu.Wameonywa, wasiposikia shauri yao
View attachment 2318269
Kwahiyo urefu wake ni japan nzimaFrontline ya Ukraine, imeweka ngome yenye Urefu wa km 2,450. Mrusi kakosa sehemu ya kupita ili asonge mbele. Kele sehemu pamezibwa. Na hakuna ndege inakatiza wala mdudu yoyote kutokea upande wa Urusi
View attachment 2317930