figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #4,861
Jama wameweka Uzio balaa. Fikra mwezi na Nusu Urusi wameshindwa kuuvuka. Km 20 kutoka kwenye Uzio ndo HIMARS zipoKwahiyo urefu wake ni japan nzima
Kazi Iendelee. Vifaru vinadonolewa kama kumbikumbi
Kama HIMARS iko 20Km nyuma ya uzio wa ukraine, ina maana kutoka kwenye uzito wa ukraine wale nyang'ao wako umbali gani. Mie nilifikiri HIMARS ziko nyuma ya uzio wa Ukraine kwa zaidi ya 80KM.Jama wameweka Uzio balaa. Fikra mwezi na Nusu Urusi wameshindwa kuuvuka. Km 20 kutoka kwenye Uzio ndo HIMARS zipo
Nadhani wanaenda kumtenda kama Warusi wanavyowatendea. Kula na kulipa ndo mtindo.Hawa Azov sijui wanamoeleka wapi mrusi wa watuππ
View attachment 2318311
Ila wasimpige msusa maana muda wowote anaweza kuachia uharo akawachafua bure ππππββοΈπββοΈπββοΈNadhani wanaenda kumtenda kama Warusi wanavyowatendea. Kula na kulipa ndo mtindo.
Kwa Azov ni tofauti. Wakifika maeneo "wanamtupa".Ila wasimpige msusa maana muda wowote anaweza kuachia uharo akawachafua bure ππππββοΈπββοΈπββοΈ
Ukute wanapelekewa Mamba.Kwa Azov ni tofauti. Wakifika maeneo "wanamtupa".
Mpk RahaAngalia Warusi walivyolipuliwa Walipojaribu kuukimbia moto wa Ukraine
View attachment 2316629
Hizo zitatumika kuwageuza mizoga wao wenyewe. Dreva aliona isiwe tabu akasepa kwa miguu. Labda aliona drone inamnyemelea kwa juu. πππUkraine wamedaka gari la Ugavi la Urusi likiwa na 122mm artillery rockets zinazotumika kwenye BM-21 Grad. Bahati iliyoje
View attachment 2318437
Safi mnoooHawa waliambiwa Mikono juu. Wawili wakagoma wakapigwa Risasi za kichwa. Watatu wakakubali wakafungwa kamba
View attachment 2317762
Daaaaah nawakubali kinoma hawa jamaaAzov wakiwa kazini
View attachment 2318317
Hawa dawa ni kuwazimia kila kituWameonywa, wasiposikia shauri yao
View attachment 2318269
Mimi nadhani wamezidi.. Maiti ni nyingiWarusi waliokufa wanafikia 70000-80000
Ripoti mpya ya Wamarekani, baada ya udukuzi wa mazungumzo
Machale yalimcheza akachomoka nduki na kuachia mtaji ili wenye nao wajiokoteeHizo zitatumika kuwageuza mizoga wao wenyewe. Dreva aliona isiwe tabu akasepa kwa miguu. Labda aliona drone inamnyemelea kwa juu. πππ