Hata kama wataenda na kasi hii bado mimi naona mpaka mwisho wa September huenda Donetsk, Kherson zitakuwa mkononi mwa Ukraine.Mkuu kulingana na tathmini ya idara ya kijasusi ya Ukraine wanasema mwezi huu tusitarajie mambo makubwa, mwezi october ndio dunia itashangazwa na ukraine na anasema kufikia mwezi december kutakuwa na mapigani kidogo sana wakati anatarajia ifikapo 2023 urusi atakuwa kasharudi nyumbani kwa aibu mkuu.
Ndege za Urusi zimeteketea Crimea
View attachment 2319626
Jamaa huwa ni waoga sana kidogo tu watoka nduki😂Warusi wameanza kuikimbia Crimea. Foleni ya Magari km 10 kutoka daraja la Crimea
View attachment 2319628
Haya mabomu yakiachiwa yanatafuta target au unaitafuta target kabla ya kulipua?Ukraine wameonesha jinsi walivyoshambulia magari ya Urusi View attachment 2319629
Airbase ya Saki huko Crimea
View attachment 2319245
Putin anaishia kufukuza fukuza majenerali.Jama wameweka Uzio balaa. Fikra mwezi na Nusu Urusi wameshindwa kuuvuka. Km 20 kutoka kwenye Uzio ndo HIMARS zipo
Safi sana. Bora vita iendelee hata kwa miezi 6 mingine ijayo ili kumpunguza nguvu za kijeshi.Urusi Walipanga kuleta Wanajeshi laki mbili Ukraine. 90% Wamekwenda na maji. Yaan wanajeshi zaidi ya 170000 kati ya laki 2 walioletwa Ukraine February, hawapo tena kwenye mfumo baada ya baadhi kufa wengine kuwa Walemavu na wengine kufungwa. Kama vita itaendelea hivi, itachukua miezi mingapi kuwamaliza askari wote wa Urusi kama wao wapo 900000?
View attachment 2319616